Video ya mwana FA ya wimbo asanteni kwa kuja haifai kuangalia na watoto

markbusega

JF-Expert Member
Oct 12, 2015
826
847
Video hii ina wanawake waliovaa bikin sana kiufupi haifai kwa maadili ya watanzania, naomba basata iangalie upya video hiyo sio lazima tuwe kama wazungu kwa kila kitu inakera sana
 
pia inahamasisha mambo ya kisagaji, mfano wale madem wanaolambishana pipi ya kijiti... Kiukweli kwa maadili ya kiTanzania haifai kabisaa...
 
Back
Top Bottom