Superbug
JF-Expert Member
- Jan 31, 2018
- 15,836
- 40,387
video inayotreand ya Humphrey polepole mwenezi wa ccm akisakata rumba inawakejeli watanzania
Kimsingi ukiiangalia ni Kama yeye na ccm wanawakejeli watanzania: Yani ni Kama toto jinga la nyumbani linalopendelewa na baba halafu linawacheka na kuwang'ong'a wenzake ambao hawapati privileji anazopata yeye
watanzania kwasasa ni
maskini maradufu
Hawana ajira
Biashara zimeuwawa
Sekta binafsi imedondoka
Watumishi wa umma miaka minne sasa wanasota
Dwmokrasia Hakuna
Watu wanauwawa hovyo
Wanasiasa wa upinzani wamefungwa wameuwawa wapepigwa risasi
vyama vya upinzani vimepigwa pini huku ccm ikiachwa ineemeke
Trillions zimeibiwa kwa mujibu wa cag
Polisi wanaonea raia
Shilingi imeshuka
Halafu ushetani Wooooteeeee huu unaotendeka nyumbani unaliona toto lenye bichwa kubwa linacheza kwa kukata viuno je utalielewa?
Watoto wengine wote wamefungwa mikono nyuma halafu unaliona lenyewe linacheza ndombolo kisa linapendelewa na baba!!
Hii ni kejeli kwa wanafamilia ipo siku utajutia hivyo viuno Time will Tell!!