Evans-Arsenal JF-Expert Member Jan 10, 2016 868 1,385 May 29, 2017 #1 Leo timu ya Simba sports club imepeleka kombe lao waliloshinda dhidi ya Mbao Fc katika uwanja wa Dodoma Jamhuri na kuamsha shangwe kutoka kwa wabunge.
Leo timu ya Simba sports club imepeleka kombe lao waliloshinda dhidi ya Mbao Fc katika uwanja wa Dodoma Jamhuri na kuamsha shangwe kutoka kwa wabunge.
Joseverest JF-Expert Member Sep 25, 2013 52,470 70,590 May 30, 2017 #2 Sawa mkuu...Pongezi zao watani wenzangu