Tulia ni Dr wa kusomea kabisa. Kafanya kazi UD kama Professor kabla ya kwenda bungeni. Kawa mbunge wa kuteuliwa, mbunge wa kugombea na sasa ni Spika. Mme wake ni Director wa taasisi fulani. Nini cha ajabu hapo kumiliko hiyo nyumba? Mnataka mtu afanye kazi afu aishi kwenye nyumba ya nyasi?