Video na picha: Waafrika weusi tii walioishi India miaka elfu 60

Come on now, historia darasa la tano.

Mtumbwi ulikuwa unavua samaki Africa ukapotea baharini kuibukia India. Hawakuhitaji navigation system.

The greatest of far-out discoverers in history, Bathlomeo Diaz, Henry the Navigator, Vasco Da Gama, Marco Polo, Christopher Columbus they all made their greatest discoveries by chance and stumbling, far from geoscience precision.

Red Indians wa Marekani wanaitwa Indians leo kwa sababu Christopher Columbus alidhani kafika India. Kumbe bana wale sio wahindi.

Vasco Da Gama aliingia chaka akielekea India kutafuta black pepper, akajikuta yuko Kariakoo.

You did not need navigation technology to conquer world frontiers.
Hiyo yawezekana kwa watu wachache wachache waliopotea njia.sio populations kubwa kama zilivyokutwa India, south America au China uwezekano mkubwa ni kuwa walinavigate kutumia nyota.Mbona wazungu hawakufika kote huko?
 
Nachukia ukoloni na katu siwezi kuonea ufahari ujaji wa Wakoloni barani Afrika! Hata hivyo, hiyo hainiachi kuwaza kwamba je; huenda kama si ujaji wa Wakoloni Afrika; hivi sasa si ajabu bado tungekuwa kwenye primitive life kama hao?! Tungekuwa tumepiga hatua kiasi gani?

Anyway, sijasoma history... ngoja weekend hii nitumie muda kidogo kujisomea yale ambayo niliyasikia nikiwa Form I & II... Zama za Kale za Mawe; Ugunduzi wa Moto n.k! Ningependa kufahamu wakati Mswahili anaweza kuchonga jiwe kwa kutumia mawe; makabila mengine (non Africans; white in particular) walikuwa wapi!

Nikirudi kwenye mada; interest yangu sio "Waafrika" hao kwenda India... bali ni nini kiliwafanya ku-risk maisha yao kiasi cha kuingia kwenye mitumbwi hadi India! Let's wanatoka Tanga... walipokuwa wanaishi pakakumbwa na disease outbreak na hivyo kuwa si salama tena kuishi!! Kwanini wali-opt kuelekea Eastwards hadi baharini na kuanza kukata maji bila kufahamu wanaenda wapi.... huku nikiamini hawakuwa na mitumbwi ya kuweza kuhifadhi idadi kubwa ya chakula na maji... by the way; wangehifadhi kwa kutumia vifaa gani?! Why instead moving eastwards, hawakuelekea north/west/southwards ambako wangeweza kulikimbia eneo hatarishi bila ku-risk maisha yao tena wakiwa na uhakika wa kupata chakula kwavile wangekuwa wanasafiri pori kwa pori!!!!

Hebu nikumbusheni wataalamu wa historia! Wale Wangoni wa Kusini mwa Tanzania ni moja ya sehemu ya Wazulu ambao kusafiri kwao northward to Tanzania ilitokana na civil wars kule kwao?!

Mkuu Copenhagen DN, kwa hii ID yako naweza ku-assume upo Denmark! Kama ndiyo, kuna motivation factor iliyokufanya ku-move northward to Denmark! Kutafuta elimu, maisha na mambo mengine kama hayo! Nini inaweza kuwa motivation factor ya hao watu?!
 
Pana historia nyingi humu duniani watu wanababia babia tu ila kuna vitu vingi hatuvijui sasa wale tunaowaona wameendelea wanatuingiza chaka wapendavyo kumbe nao hawajui mengine wanabuni buni tu. Shukran mleta uzi nimepata elimu bila kulipia ada stahiki.
 
Da yan taifa kubwa kama India wameshindwa kuwapelekea ustaharabu hawa watu wamewaacha tu watembee uchi.Dah!Nimeumia sana,najua in dhambibya ubaguzi mwisho wa Sikh wakajikuta wanatembea tu pekeyao wakashindwa kufanya adaptation
Wahadzabe wa hapa kwetu bado wanatembea uchi pia. Mwaka 2011 sikumbuki kijiji hasa lakini ni karibu na Igunga na kabla ya kufika Singida niliwahi kuona wadada wametoka kuchota maji wameva kiasili kabisa na juu hawajavaa kitu matiti yako wazi. Na pia miaka ya tisini niliwahi kuona wasichana wa kikurya waliotoka kutahiriwa wakicheza ngoma huku wakiwa hawajavaa kitu chochote juu. Haya mambo bado yapo humu humu nchini mwetu Serikali nyingi huwa zinaheshimu mila na desturi za hayo makabila (minorities)
 
Wazungu waliwauza watu weusi dunia mzima..!
60 thousand years utumwa ulikuwa bado na mzungu kafika afrika kalne ya kumi na nne kabla ya hapo ni uongo. Hawa watu walifika huko kama migration nyingine zote. Mimi ninachopenda tujifunze hapa ni kuwa mila ya mwafrika ndiyo hiyo ya kutembea uchi siyo kila siku tuambiwe watu wanatembea uchi wanaiga mila za wazungu. Hao ni wazungu na je wamevaa vimini? Kama wanataka mila za kiafrika basi watu wote tuanze kuchojoa tutembee kama wao.
 
Habari za Wikendi wanaJamvi.

Bado inawaumiza vichwa sana wana Historia na wanaanthropolojia hawa watu walifikaje India kwenye visiwa vya Andaman na Nicobar? Nadharia tofauti zinadai hawa watu wa kabila linaloitwa Jarawa walisafiri kutoka Africa Mashariki Kwa mitumbwi miaka elfu 60 iliyopita na wala hawakuwa watumwa walifika pekee Yao.

Vasco da Gama kawaelezea Kwa uchache kweli walipojaribu kuweka nanga visiwani humo Karne ya 15 akielekea Goa India walikabiliwa na upinzani mkali Kwa kurushiwa mishale ikabidi waondoke.

Sasa hivi idadi Yao imeshuka wamebaki 450 tu. Serikali ya India imeamua kuwaacha waishi wanavyopenda bila bughudha na kutoruhusu watalii wowote hasa kutoka magharib ambao wanausongo sana kuwatembelea ndugu zetu hao India Kwa sabab kinga za mwilini mwao ni dhaifu na wakipata maambikiz kama magonjwa ya Surua itawafyeka.

Kuna wahindi walikuwa wanawaingiza watalii wazungu kinyemela visiwani humo nyakati za usiku ila wamekamatwana serikali ya India nakuchukuliwa hatua kali.

Mwaka huu binti wakabila hili la Jarawa alizaa mtoto chotara ikabidi wazee wanaume wa kabila hili wakizamishe baharin. Msemaji wa serikali ya India alisema hawez kuingilia mambo ya hao watu wamewaacha wajitawale wenyewe.

Vyakula wanavyokula ni mizizi, nguruwe pori, samaki na madafu sana sana.

Very interesting


Si kwamba walisafiri kutoka afrika kwenda India,ulimwengu wa kwanza ulikua wa mtu mweusi,km unasoma bible Mungu akipotawanya dunia wakati wa Nimrod ndo watu wakafika mpk huko,lkn i dare to tell u hao watu sio wavamizi hapo,ni asili yao,wanahistoria wanatudanganya mengi sana.
 
Back
Top Bottom