Video: Mwanamke akipiga mtoto asiyeweza kutembea, ukatili huu upigwe vita

Pantomath

JF-Expert Member
Jan 4, 2019
789
3,230
Nimejitahd sana kutafta chanzo cha hii video hata aliyeipost nimekosa...

Inamuonesha mama akikipiiga kitoto chake kichanga kisa kuumizwa kihisia na baba mzazi, huku akimuuliza kichanga, "baba yako ananiumiza mimi?" Asipojibu anampiga, mtoto analia kwa uchungu.
Imenisikitisha sanaa kwa kweli..

Nimejarb ku upload kama video imegoma nimeweka kama link, nimeitoa kwenye app ya Phoenix ambayo ni ya nje, ila ni mtanzania mwenzetu.

Yeyote Mwenye kujua bottom ya hii video a share hapa huyu dada akamatwe.

UPDATE

nimeisaka nikaikua Tiktok wamepost waarabu lakini wamekata sauti original ya kiswahili ambayo kiukweli ndio inatia hasira zaidi.


NOTE

Ukiweza kufungua hio link hapo juu hasa kwa wanaotumia Browser ndio utapata picha kamili.
 
😪😪😪😪 Aisee, nimefungua hio link, mmmh, Hivi hapo hata kama huyo Mwanaume alikua na mpango na wewe si ndio kwisha habari yako????

Baba naye ukute ni wale wanaokataa watoto katumiwa video kaona sawa tuu..

Huyu malaika atakua mwenye bahati mbaya kuliko kawaida duniani...

Ngoja nikaisake chanzo.
 
Ngumu sana mimi kuangalia video za hivyo, zinanikaa kichwani mda mrefu.
Mimi sipendi pia, ila nimefanya hivi kama yawezekana kupata msaada wa anayejua kina cha hili..

Nimeitoa kwenye Gallery nisiione nimeweka kwenye recycle bin.
 
Back
Top Bottom