Michael Amon JF-Expert Member Joined Dec 22, 2008 Posts 8,769 Reaction score 3,649 Nov 2, 2013 #1 Tazama video mpya kutoka kwa mwanadada Shaa katika wimbo uitwao Sugua Gaga chini ya usimamizi wa kampuni ya Mkubwa na Wanae ya Said Fela. [video=youtube_share;dAXYlpnTuOE]http://youtu.be/dAXYlpnTuOE[/video]
Tazama video mpya kutoka kwa mwanadada Shaa katika wimbo uitwao Sugua Gaga chini ya usimamizi wa kampuni ya Mkubwa na Wanae ya Said Fela. [video=youtube_share;dAXYlpnTuOE]http://youtu.be/dAXYlpnTuOE[/video]
donlucchese JF-Expert Member Joined Mar 23, 2011 Posts 17,258 Reaction score 22,139 Nov 2, 2013 #2 Nimependa mauno ya humo
matumbo JF-Expert Member Joined Jul 9, 2011 Posts 7,224 Reaction score 3,960 Nov 2, 2013 #3 Fela na Tale wamemtengeneza Shaa mpaka kaja kiswazi sana...ila kafanya poa
Michael Amon JF-Expert Member Joined Dec 22, 2008 Posts 8,769 Reaction score 3,649 Nov 4, 2013 Thread starter #4 matumbo said: Fela na Tale wamemtengeneza Shaa mpaka kaja kiswazi sana...ila kafanya poa Click to expand... Yep...amejitahidi sana.
matumbo said: Fela na Tale wamemtengeneza Shaa mpaka kaja kiswazi sana...ila kafanya poa Click to expand... Yep...amejitahidi sana.
Ibrahim300 JF-Expert Member Joined Nov 29, 2010 Posts 391 Reaction score 69 Nov 6, 2013 #5 Udaku wote wa wasanii, skendo na picha zao latest utapata kwa mtandao wa bkuHABARI
Deo Corleone JF-Expert Member Joined Jun 29, 2011 Posts 17,038 Reaction score 13,465 Nov 8, 2013 #6 ibrahim300 said: udaku wote wa wasanii, skendo na picha zao latest utapata kwa mtandao wa bkuhabari Click to expand... udaku wao unatusaidia nin? Mwanaume mzma na pum.bu zako unaanza kuandka habar za udaku.
ibrahim300 said: udaku wote wa wasanii, skendo na picha zao latest utapata kwa mtandao wa bkuhabari Click to expand... udaku wao unatusaidia nin? Mwanaume mzma na pum.bu zako unaanza kuandka habar za udaku.
tinna cute JF-Expert Member Joined Sep 22, 2013 Posts 4,630 Reaction score 2,315 Nov 8, 2013 #7 Wimbo mzuri.
Ibrahim300 JF-Expert Member Joined Nov 29, 2010 Posts 391 Reaction score 69 Nov 14, 2013 #8 Deo Corleone said: udaku wao unatusaidia nin? Mwanaume mzma na pum.bu zako unaanza kuandka habar za udaku. Click to expand... Wewe ni ovyo...basi kama hupendi udaku waingia sehemu humu kufanya nini?? Wee ni maziwa mala usiejielewa kabisa... Kwa wale wanaopenda habari mpya ni kuwa wimbo wa Sugua Gaga umepigwa marufuku youtube Wimbo Wa Shaa Sugua Gaga Wapigwa Marufuku Na Mtandao Wa YouTube - bkuHABARI
Deo Corleone said: udaku wao unatusaidia nin? Mwanaume mzma na pum.bu zako unaanza kuandka habar za udaku. Click to expand... Wewe ni ovyo...basi kama hupendi udaku waingia sehemu humu kufanya nini?? Wee ni maziwa mala usiejielewa kabisa... Kwa wale wanaopenda habari mpya ni kuwa wimbo wa Sugua Gaga umepigwa marufuku youtube Wimbo Wa Shaa Sugua Gaga Wapigwa Marufuku Na Mtandao Wa YouTube - bkuHABARI
Adharusi JF-Expert Member Joined Jan 22, 2012 Posts 14,493 Reaction score 7,421 Nov 16, 2013 #9 Ngoja nione