VIDEO: Mlimbwende huyu anauza pipi, biscut katikati ya barabara za jj la Nairobi

Mdakuzi mkuu

JF-Expert Member
Dec 27, 2016
212
719
Kenyema bhana, hawarembi mwandiko,ndo maana wanatuzidi sisi wabongo!

Binti mrembo, mdogo, mbichi, laini, kaumbika, kisuuuu, hajambo kila section ...anashinda kwenye barabara kuu za Nairobi akiuza pipi, biscut, bigiji, bites mbalimbali kiroho safi kabisaaa na anaenjoy kazi yake. Anashinda juani tu siku nzima mwenyewe na kopo lake bila taabu yoyote.

Ni kama machinga wanaotembeza vitu Barbara za jiji la dsm siku kutwa.

Hapa bongo, mashostito wangeweza kweli??

embu ona hii video hapa chini.
 
Attachments

  • VID-20170107-WA0062.mp4
    11.3 MB · Views: 92
Yupo kawaida sioni kitu chakushangaza hapo
Kipo cha kushangaza hapo mkuu hivi kwa hapa kwetu wale wadada wanaojiuza si wapo kama huyu tu.

Ila huyu amewaza mbali zaidi kaona bora apendeze then avutie wateja kwa kuwauzia bidhaa ndogo ndogo na sio kuwapa uchi wake.
 
Hii kwa wafu wa tanzania bado sana. Bola mazimbi ya kenya baadhi yanajielewa.
 
Kipo cha kushangaza hapo mkuu hivi kwa hapa kwetu wale wadada wanaojiuza si wapo kama huyu tu.

Ila huyu amewaza mbali zaidi kaona bora apendeze then avutie wateja kwa kuwauzia bidhaa ndogo ndogo na sio kuwapa uchi wake.
Hata hapa kwetu tz wapo wengi wanapendeza zaidi ya huyo na wanafanya biashara za kutembeza vitu Kama nguo mabegi wengine wanatembeza chai au uji. Mkuu hujawahi kutana na hao wadada hapa tz
 
Hata hapa kwetu tz wapo wengi wanapendeza zaidi ya huyo na wanafanya biashara za kutembeza vitu Kama nguo mabegi wengine wanatembeza chai au uji. Mkuu hujawahi kutana na hao wadada hapa tz
Sijawaona mkuu ila niliobahatika kuwaona wakiwa kwenye hizo kazi huwa wanakuwa hovyo hovyo tu havai smart kama huyu dada hapo kwenye hiyo video.
 
Wacha kusifia visivyo sifiwa bwana!!!
Mbona wapo mitaani zaidi ya huyo Dar na tunaona kawaida tu
 
This is why Kenya is hot. Mfanyakazi wa safaricom anamhudumia mtanzania mwenzetu safaricom shop Nakuru.
Photos: Safaricom employee melts hearts after kneeling to serve customer - NewsDay Kenya
0fgjhs3dsn02i9bbbg.f7cc86c6.jpg

Mdada wa kibongo afanye hivi labda awe na mashetani....

0fgjhs5g72has923n.757a411d.jpg
 
Back
Top Bottom