Kibo10 JF-Expert Member Joined Aug 20, 2013 Posts 11,278 Reaction score 8,868 Sep 25, 2014 #1 Akana asema alikuwa akimfanyia maombi ni shidaaaa jionee hapo chini Video:Video: Tazama mke huyu mrembo alivyofumaniwa akila uroda na mchungaji wake!! – Bongo5.com
Akana asema alikuwa akimfanyia maombi ni shidaaaa jionee hapo chini Video:Video: Tazama mke huyu mrembo alivyofumaniwa akila uroda na mchungaji wake!! – Bongo5.com
Power G JF-Expert Member Joined Apr 20, 2011 Posts 3,884 Reaction score 1,201 Sep 25, 2014 #2 Msisahau kwamba wachungaji nao ni binaadamu na wana mahitaji kama binaadamu wengine.
L logician mkuu JF-Expert Member Joined Jun 2, 2014 Posts 792 Reaction score 221 Sep 25, 2014 #3 Wakifumaniwa mapadre wa Kanisa Katoliki walokole wanakuja na hoja kuwa eti kwa sababu hawaoi, waruhusiwe kuoa... Je kwa utumishi wa Mungu kuoa ndio dawa ya kutofanya uzinzi? Na cases kama hizi je? Wana MMU maoni yenu...
Wakifumaniwa mapadre wa Kanisa Katoliki walokole wanakuja na hoja kuwa eti kwa sababu hawaoi, waruhusiwe kuoa... Je kwa utumishi wa Mungu kuoa ndio dawa ya kutofanya uzinzi? Na cases kama hizi je? Wana MMU maoni yenu...
Kibo10 JF-Expert Member Joined Aug 20, 2013 Posts 11,278 Reaction score 8,868 Sep 25, 2014 Thread starter #4 logician mkuu said: Wakifumaniwa mapadre wa Kanisa Katoliki walokole wanakuja na hoja kuwa eti kwa sababu hawaoi, waruhusiwe kuoa... Je kwa utumishi wa Mungu kuoa ndio dawa ya kutofanya uzinzi? Na cases kama hizi je? Wana MMU maoni yenu... Click to expand... Hizi kazi za kuchunga kondoo ni za wito mkuu kama mtu hana wito lazima atanasa tu..
logician mkuu said: Wakifumaniwa mapadre wa Kanisa Katoliki walokole wanakuja na hoja kuwa eti kwa sababu hawaoi, waruhusiwe kuoa... Je kwa utumishi wa Mungu kuoa ndio dawa ya kutofanya uzinzi? Na cases kama hizi je? Wana MMU maoni yenu... Click to expand... Hizi kazi za kuchunga kondoo ni za wito mkuu kama mtu hana wito lazima atanasa tu..
Kibo10 JF-Expert Member Joined Aug 20, 2013 Posts 11,278 Reaction score 8,868 Sep 25, 2014 Thread starter #5 Power G said: Msisahau kwamba wachungaji nao ni binaadamu na wana mahitaji kama binaadamu wengine. Click to expand... Ubinadamu kugegenda wake za watu?
Power G said: Msisahau kwamba wachungaji nao ni binaadamu na wana mahitaji kama binaadamu wengine. Click to expand... Ubinadamu kugegenda wake za watu?
ERoni JF-Expert Member Joined Jan 9, 2013 Posts 55,945 Reaction score 132,100 Sep 25, 2014 #6 Ndio maana mnaambiwa msiwaamini (do not worship) binadamu coz watawavunja mioyo yenu..
HARUFU Platinum Member Joined Jan 21, 2014 Posts 31,702 Reaction score 48,146 Sep 25, 2014 #7 Huyu ....