Video: Maombi mazito yafukuza tornado

Video: Maombi mazito yafukuza tornado

AZUSA STREET

JF-Expert Member
Joined
Oct 31, 2013
Posts
2,007
Reaction score
1,898
hawa jamaa wamepigwa pichwa wakiomba maombi ya nguvu. walikuwa wanasali katika kanisa lao, ikatokea wakaona Tornado inakuja, wakatoka nje wanaanza kuliitia Jina la Yesu na kuomba mambi ya nguvu hadi tornado ikarudi haikuwafikia. hapo ndipo unaweza kuelewa kuwa wakati mwingine adui huwa anajificha kwenye vitu vya asili,shetani anaweza kujificha kwenye mafuriko, kwenye mvua ya mawe, kwenye ajali mbalimbali ili kuua, lakini wamtumainio Bwana, watapata nguvu mpya, watapaa juu kwa mbawa kama tai, watapiga mbio wala hawatachoka. KILA ATAKAYE LIITIA JINA LA BWANA ATAOKOKA. una jambo lilalokusumbua? liitie Jina la Bwana, utaokila hakila.

[video]Prayer in numbers and power of Prayer. Wow![/video]

Last edited by a moderator:

Mkuu hapa ni mahali pa kuweka picha sio maelezo matupu hatutaki Mkuu <b><a href="https://www.jamiiforums.com/member.php?u=179750" target="_blank">AZUSA STREET</a></b> Samahani kama nimekukwaza unisamehe kwa jina la Bwana YESU.
 
Last edited by a moderator:
Mkuu hapa ni mahali pa kuweka picha sio maelezo matupu hatutaki Mkuu AZUSA STREET Samahani kama nimekukwaza unisamehe kwa jina la Bwana YESU.
hahaha, mzizi mkabu leo umenifurahisha sana. Mungu akusaidie hata uko uliko kwa wagiriki. umeibofya ukasikiliza lakini uone Nguvu za JIna la Yesu? Jina lipitalo majina yote? umependa kuona Nguvu hizo, kama umependa mbona umekimbilia lawama tu hata shukran kwamba bora nimekuwekea uone Nguvu za Mungu haujashukuru mzee. nakutakia siku njema.

by the way, mmepata kiongozi gani kwenye ule uchaguzi wenu?
 
Ingekuwa ni hivyo yasingetokea mafuriko wa matornado huko marekani na typhoons za Phillippines zisingekuwepo.

Lakini kila leo ndiyo kwao.
 
hapo ni ufilipino. tornado zinatokea kila wakati, na hapo ilikuwa inakuja wakati wao wako kanisani, wakasimamisha ibada wakaanza kupiga maombi hadi tornado ikarudi. huko marekani na kwingine watu huwa hawaombi wakiona tornado tu wanaanza kukimbia hata kukumbuka kuomba huwa hawakumbuki. ukiwa na imani kiasi cha punje ya haradani unaweza kuhamisha hata mlima aisee.
 
Mkuu hapa ni mahali pa kuweka picha sio maelezo matupu hatutaki Mkuu <b><a href="https://www.jamiiforums.com/member.php?u=179750" target="_blank">AZUSA STREET</a></b> Samahani kama nimekukwaza unisamehe kwa jina la Bwana YESU.

Yallah mbavu zangu nimecheka sana. nimehangaika kutafuta picha sikuiona.
 
Back
Top Bottom