VIDEO: Majambazi walivyoshindwa kuiba BMW bullet proof Nairobi

Maghayo

JF-Expert Member
Oct 5, 2014
14,796
32,657
Ebwana wanaJF mzuka!

Hili tukio lilitokea Nairobi Kenya December 2014 na kunaswa na cctv. Inaonekana haya Majambazi yalimfuatilia mwenye Hii BMW hadi getini.

Binadam bwana yani unapigia mahesab Mali za mwenzako upore na hata kuua. Mwenzako aumie au afe wewe ufurahi.

Ah Huyo Dereva ni mzembe mimi hapo lazima ningemgonga mmoja wapo au wote... nadhani alishikwa na uoga furani... tena huyo mwenye boda boda angetoa ushuzi ningehakikisha namkanya haswa
ni mzembe kweli yani ingekuwa mimi ningewabamiza. Ila ni hofu na mshtuko
 
Kwani mkuu usafiri haiwezi kua na bullet proof ??? Au Bm zote ni bullet proof ??

Kufanya vioo vyote viwe bullet proof si chini ya 30million. Kwa gari za gharama haina shida.

Una chombo cha usafiri kama Passo au Vitz ambayo haizidi 8million.. ukalifanye liwe bullet proof kwa 30million. Haingii akilini. Nadhani umenisoma...
 
Nadharia ya bullet proof ni kulinda aina ya gari au uhai wa mtu ?? Kama ni uhai wa mtu sioni tatizo hapo
 
Ukiwa na chombo cha usafiri, nani atakutafuta akutoe uhai... zaidi ia kuibiwa power window, side mirror, spare tyre tu... ukiwa na gari hapo kweli utawindwa mpaka roho yako. Ndiyo maana magari yanawekewa mambo mengi ya kujilinda na kujihami.. lakini vyombo vya usafiri vinawekewa air bag, na triangle...
 
Haya bana haya mawazo yako ukimpelekea Warren Buffet lazima akushangae maana yeye gari anayoipenda ni Jaguar sijui ya mwaka 1978 na kuna limited edition buggati zipo mbili tu kama sikosei hana muda nazo ,sasa sijajua kumbe kumiliki usafiri ni umaskini tu ndio maana watu watadeal na power window
 
Jaguar ni gari siyo chombo cha usafiri... Buggati ni zaidi ya gari, yanaitwa matoi ya kujidai nayo... sijasema ni umasikini.. bali ni chombo cha kukurahisishia kukutoa point A kwenda B bila bugudhaa...
 
Back
Top Bottom