Ni ngumu kusema kwa kuwa video in zoom in wangechukua kwa mbali you can tell easly .Nimejaribu kuangalia video kwenye dakika ya nne unaweza ona watu wameishia kwenye ile gari nyeupe na unaweza sema watu walikuwa wachache with 60% degree of confidence.