Dingswayo
JF-Expert Member
- May 26, 2009
- 4,019
- 2,930
Nilidhani kuwa baaada ya agizo kuwa wafanyakazi wajitokeze kwa wingi katika maandamano, watu wangekuwa wengi zaidi ya hawa. Au labda ni macho yangu tu, naona waliosimama pembezoni mwa barabara ni wengi pia!
[video=youtube_share;dVDTyEOxOm0]http://youtu.be/dVDTyEOxOm0[/video]