Video maalum ya leo

Asante Mkuu
Ajali nyingine....Good hakuumia
 
Kinachonishangaza kuinasa taswira hii kana kwamba ilipangiliwa.

Nimeangalia hiyo video inaonekana kama mazingira yaliandaliwa, maana mpiga picha alijuaje kama kuna gari inatumbukia ziwani?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…