jogi
JF-Expert Member
- Sep 25, 2010
- 25,556
- 25,334
Uko ndani ya yutong saaafi kutoka ukweni, umeambatana na watu wako wa heshima kuja town.
Ile safari inaanza wanatupia kitu cha bongo muvi! Unaamua kuuchuna kwa kuwa huwaelewielewi wanachofanya waigizaji.
Inafika muda filamu inaisha nao wanabadili na kuweka miziki yao ya ubongo mkengeufu aka bongofleva!!
Unatamani ushuke uifiche aibu yako.
Wachezaji wako nusu uchi!!! Mnachukuliaje hiyo hali kuwa ndio burudani ya halaiki?
Kama hali hii inakukera tupia uzoefu hapa tupaaze sauti zetu kuupinga.