Janerose mzalendo
JF-Expert Member
- Oct 4, 2018
- 3,881
- 2,813
Nilidhani yule mtz ameuliwa S.A. ni wewe kumbe!Wakenya wanaona maruerue tu hapo, wakifikiria yale malori yao wanayoteseka nayo kwenye barabara zao mbovu intercounties travellers na wakiona vyuma vya Tanzania wakiteleza kwenye carpets kila mkoa vichwa vinawauma
Stendi tu zenyewe hawana, halafu utaratibu zero kila mtu ni sumatra, mwenye gari ndio mwenye ratiba na utaratibu mzima wa safari mpaka nauli.
Tanzania mambo ni tofauti kuanzia kwenye stendi na kuendelea
Ngoja niwape Chuma kinachojengwa pale the capital, hii terminal ndio kubwa kuliko zote Africa mashariki na kati, itakua na hotels, malls, restaurants, movie halls, etc hii ni zaidi ya airport ya Nairobi
Inakamilika 2020, vyuma vingine ambavyo vipo kwenye ujenzi ni terminals mpya za Dar, Mwanza, Tabora etc
View attachment 1196679View attachment 1196680View attachment 1196681View attachment 1196682
Wakenya wanaona maruerue tu hapo, wakifikiria yale malori yao wanayoteseka nayo kwenye barabara zao mbovu intercounties travellers na wakiona vyuma vya Tanzania wakiteleza kwenye carpets kila mkoa vichwa vinawauma
Stendi tu zenyewe hawana, halafu utaratibu zero kila mtu ni sumatra, mwenye gari ndio mwenye ratiba na utaratibu mzima wa safari mpaka nauli.
Tanzania mambo ni tofauti kuanzia kwenye stendi na kuendelea
Ngoja niwape Chuma kinachojengwa pale the capital, hii terminal ndio kubwa kuliko zote Africa mashariki na kati, itakua na hotels, malls, restaurants, movie halls, etc hii ni zaidi ya airport ya Nairobi
Inakamilika 2020, vyuma vingine ambavyo vipo kwenye ujenzi ni terminals mpya za Dar, Mwanza, Tabora etc
View attachment 1196679View attachment 1196680View attachment 1196681View attachment 1196682
Hii terminal hata JKIA haioni ndani halafu hapo bado sijaleta ya Dar wala Mwanza ujueNilidhani yule mtz ameuliwa S.A. ni wewe kumbe!
Usisahau kutuwekea stesheni za pugu na kimara. Zinakaa vyoo vya Naivasha Town
Jibo kihoja mada sio Kuroka ropoka kujifanya mjuaji kumbe kopo tu
😂😂😂😂 Ile ni sayari nyingine tofauti, saivi kipo 25%Dodoma hiyo
Pale Mbezi kuna matusi yanajengwa pale wakimaliza Wakenya watalia
Nairobi haina hizi sana sababu watu wengi wana magari yao binafsi. This Tz bus station is just busy because of poverty waTz can't afford cars halafu ona vile mahali pale Ubungo pachafu sana.Hiyo ni Dar pekee, Kumbuka kunakuwa na Convoy pia kwenye Majiji na Miji yote ya tz, unakuta mpumbavu mmoja anaropoka eti watz wavivu.
Nilidhani yule mtz ameuliwa S.A. ni wewe kumbe!
Usisahau kutuwekea stesheni za pugu na kimara. Zinakaa vyoo vya Naivasha Town
Acha fujo[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Ile ni sayari nyingine tofauti, saivi kipo 25%View attachment 1196709
Nairobi haina hizi sana sababu watu wengi wana magari yao binafsi. This Tz bus station is just busy because of poverty waTz can't afford cars halafu ona vile mahali pale Ubungo pachafu sana.
Hahaa.. jamaa wanakwambia train za diesel ndiyo the best duniani. Ila kuna kipindi lilitoka tangazo la danganya toto kuwa wata weka umeme rail yao waliruka na kupiga mayowe kama manyani walio kutana na shamba la ndizi mbivu.Kitu nilichogundua kwa mkenya wakiona kitu hawana na hawana uwezo wa kuijenga huwa Wanasema haina umuhimu kwao, kumbe ni wivu tu [emoji23][emoji23][emoji23]
Hahaa.. jamaa wanakwambia train za diesel ndiyo the best duniani. Ila kuna kipindi lilitoka tangazo la danganya toto kuwa wata weka umeme rail yao waliruka na kupiga mayowe kama manyani walio kutana na shamba la ndizi mbivu.
😂😂😂 Fujo isio na MadharaAcha fujo[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
From just Mtwara to Bukoba the distance is 2,000 kilometres divide by 100 then times the avarage fuel consumption per litre then times the price then come back, Kenya is way tiny to scramble all of itNairobi haina hizi sana sababu watu wengi wana magari yao binafsi. This Tz bus station is just busy because of poverty waTz can't afford cars halafu ona vile mahali pale Ubungo pachafu sana.
From just Mtwara to Bukoba the distance is 2,000 kilometres divide by 100 then times the avarage fuel consumption per litre then times the price then come back, Kenya is way tiny to scramble all of it
Mtwara Bukoba ni 1350
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Ile ni sayari nyingine tofauti, saivi kipo 25%View attachment 1196709
Tatizo ni waTZ wenyewe wanajidharau. Hawajui TZ ni taiga kubwa ni nchi muhimu mnooo ndani ya Africa na dunia kiujumla.Hiyo ni Dar pekee, Kumbuka kunakuwa na Convoy pia kwenye Majiji na Miji yote ya tz, unakuta mpumbavu mmoja anaropoka eti watz wavivu.
Nairobi haina hizi sana sababu watu wengi wana magari yao binafsi. This Tz bus station is just busy because of poverty waTz can't afford cars halafu ona vile mahali pale Ubungo pachafu sana.
Atakua alisafiri mchana. Sikuizi hata saa 9 mchana unapata gari hata za mbeya.Safari ya Dar Iringa alilala njiani? Mzee Ushapiga vitu vyako mapema namna hii?
Mkuu umepiga Vyombo, Tatizo leo umeanza mapema sana[emoji2]
mimi Iringa huwa nakamua masaa 6 hadi 7 maximum, ni Km500 toka Dar,
Ukitoka dar saa 12 asubuhi saa 6 upo Iringa, Huyo jamaa yako alilala wapi?