VIDEO: Hotuba ya John Heche kwa wananchi wa Igunga 07.06.2014

kibogo

JF-Expert Member
Apr 1, 2012
9,739
4,732
Wakuu hapa chini ni Video wakati Kiongozi huyu akiwapa elimu wananchi wa Igunga juu ya nini wanatakiwa kukijua na kukifanya juu ya Taifa lao. 
Last edited by a moderator:
CCM hawataki kabisa kusikia kwamba katiba ya sasa ilitungwa na watu 11 wakiwa makada wa chama cha mapinduzi mwaka 1977 - na maana nyingine ni kwamba katiba hii haijawahi kuandikwa na sisi wananchi wenyewe!!
 
Hakika nimefarijika sana na hotuba ya kiukombozi,masisiem ni kama choo cha stand,mafi kunuka!!!
 
Hongera kwa kutumia muda wako vizuri John Heche, hakika kazi yako si bure utalipwa na mwenyezi mungu kwa wakati wake!
 
heche ni mganga njaa tu hana jipya
kwanza upstairs hayupo kama vijana wa chadema enzi za kina zitto
 
heche ni mganga njaa tu hana jipya
kwanza upstairs hayupo kama vijana wa chadema enzi za kina zitto

Hapo kwenye RED ni kweli kabisa kwani kwa sasa akina ZITTO ni Zilipendwa/ Bakurutu na Jonh Heche ni Kizazi Kipya na ndio maana tukitumia mfano wa wana muziki hauwezi kumringanisha Marehemu Mzee Ngurumo(R.I.P) na Diamond. kwa hiyo wewe utabakia kuwasifia akina ZITTO lakini hawana faida yeyote kwa sasa.
 
Sasa huyu Heche hata maana ya Katiba aijua huyu kwa jinsi alivyounga unga shule?
 
Sasa huyu Heche hata maana ya Katiba aijua huyu kwa jinsi alivyounga unga shule?

kweli kuwaza na kuishi kwa kutumia tumbo ni janga la Taifa, na hili limekuwa ni tatizo kwa watu wengi wanaoamini katika ccm, maana kundi hili ni watu wanaotegemea kuishi kijanja janja kwa kutegemea wizi na ufisadi, ni kundi la watu wavivu wanaotegemea kuishi kwa kupewa ahadi za madili na rushwa na pia ni kundi linaloamini mfumo wakijanja janja unaolenga kuwakamua kabisa Watanzania wanyonge huku mirija yote ya fedha na rasilimali ya Taifa wakijielekezea wao.
 
Sasa huyu Heche hata maana ya Katiba aijua huyu kwa jinsi alivyounga unga shule?
Vipi wale wajumbe wa Bunge la Katiba kama maji Marefu, Lukuvi, Lusinde na Lameck Airo wanaoijadili na kutaka kutupitishia Katiba je wanaijua? na vipi elimu yao wanafaa kweli kuwa miongoni mwa wanaotakiwa kuijadili na kutupitishia katiba hii mpya?
 
Hii hotuba nitailipia airtime ITV si kuacha hivi kila mtanzania anapaswa kusikia hii, heche ni PM unipe utaratibu
 
Back
Top Bottom