Video graphics card chip

Video graphics card chip

fred88

Member
Joined
Jan 19, 2019
Posts
10
Reaction score
1
Habari
Nimeshusha mzgo wa fifa 19 muda si mrefu, nime~install na kuwza kuifungua the game but it tells me directx error...nmejrb kudownload directx 11 bila mafanikio
Mwenye ujuzi wa haya mambo naomba anisaidie..
Specfction za my pc
Lenovo thinkpad T430
Processor intel i5-3320M 2.60 GHZ
Ram 8 gb
System opertor 64 bit
Video grphc...intel HD grphcs 4000
 
kabla ya kudownload na kurun pc software yeyote hakikisha umesoma requirement za hiyo software. sio kila pc ina uwezo wa kutosha kurun kila software.

fifa 19 inataka pc yenye uwezo ufuatao au zaidi ya huu

  • OS: Windows 7/8.1/10 - 64-Bit.
  • CPU: Core i3-2100 @ 3.1GHz or AMD Phenom II X4 965 @ 3.4 GHz.
  • RAM: 8 GB.
  • HARD DRIVE: At least 50 GB of free space.
  • VIDEO: NVIDIA GTX 460 1GB or AMD Radeon R7 260

    wewe hapo video graphic ishakuangusha
 
Nimezngatia hilo mkuu kabla ya kudownload ...ila bado naona shida kdgo

Anhaa ook mkuu
Lbda kuna possblty ya kuweza pata msaada wa wapi znapouzwa hzo video grphc card..kama una duka unaloljua plus bei zake

hukuzingatia mkuu. Sasa mbona pc yako haina gpu inayotakiwa na wewe umeshusha hivyo hivyo. Tena kuwa makini wakati mwingine ukiforce pc inaweza ungua.

Kama ni desktop unaweza nunua gpu ukaongezea. Lakini kama ni laptop hiyo ndio nitolee hakuna unachoweza fanya.
 
Anhaa ook mkuu
Lbda kuna possblty ya kuweza pata msaada wa wapi znapouzwa hzo video grphc card..kama una duka unaloljua plus bei zake
hapa ndio naona umuhimu wa desktop zaidi kuliko laptop kwa upande wa gamers

desktop ni rahhisi sana kuifanyia mod, kama kuongeza RAM, ku badili/ongeza HDD/SSD, processor, nk

laptop ni ni mziki kwa baadhi ya mambo, na ina limit mf: idadi ndogo ya RAM slots, vigumu sana kuweka GPU ya ziada ambalo ndio tatizo ulilonalo hasa

huwezi cheza iyo fifa kwa iyo GPU (uchwara ya PC yako ) mkuu, kama mdau alivyoongeza hapo, utaichoma iyo gpu kama utafosi
 
Ook shukran kwa mchango wenu maboss wangu
 
Back
Top Bottom