Ni upepo unaovuma,utatulia.yote hii inaimarisha dangote.maono yangu kitakua kiwanda kikubwa sana kwa ukanda wa afrika mashariki na kati.acha siasa zipite niwakati wake
Ninauhakika kama dangote akiondoka ndio chanzo cha tanzania ya - Viwanda.
Huyu jamaa ni Role model hadi kwa wazungu na wachina. Kama dangote ndugu yetu akikimbia unadhani nani atatuamini. Labda kama viwanda viwe ni vya miaka mitano mitano