Utapewa zawadi kazana mremboEmu niwahi seat mie, nitarudi baadaye...
Mods wapya hawana hizoWenzio waliwahi kula ban huu mchezo wa kuwahi seat!!!
Aisee lakini yeye ndo anapaswa kunipa vitu konki alivyobarikiwa.Next time muoneshe live show, usiishie kwenye video tu.
Kwa nini unampunja anachotaka kuona?
Sent using Jamii Forums mobile app
atakua ni flat screen ndiyomaana kanuna.Yeye ana msambwanda?!
Hizo video nikiweka hapa Ban lazima inihusu.Hebu zitupie hizo video kama ushahidi, ili tujue kama kweli zina "VIASHIRIA" vya kusababisha ugomvi katika mahusiano yenu, au demu wako alikua anakutafutia sababu.
Kesi kama hizi hua haziendeshwi bila ushahidi wa kidigitali.
Ana msambwanda medium size
Hahaha nilitaka kuhisi hvyo ila kajibu hapo[emoji115]atakua ni flat screen ndiyomaana kanuna.
Muwekee chama cha upinzani kuendeleza utawala bora wa sheria.Aisee lakini yeye ndo anapaswa kunipa vitu konki alivyobarikiwa.
Hahah hii itafaa zaidi kuleta balance of power.Muwekee chama cha upinzani kuendeleza utawala bora wa sheria.
Asilete udikteta.
Sent using Jamii Forums mobile app