mnyaga1 Senior Member Joined Sep 24, 2014 Posts 184 Reaction score 104 May 6, 2016 #1 Huyu anaitwa Charlie Puth mara ya kwanza nilimsikia kwenye wimbo wa Wiz Khalifa_see u again... ndo aliteimba ile chorus.. saiv ana album yake inaitwa Nine Track Mind... yuko vizur sana na ana sauti matata sana..
Huyu anaitwa Charlie Puth mara ya kwanza nilimsikia kwenye wimbo wa Wiz Khalifa_see u again... ndo aliteimba ile chorus.. saiv ana album yake inaitwa Nine Track Mind... yuko vizur sana na ana sauti matata sana..
Kaputupu JF-Expert Member Joined Feb 1, 2014 Posts 1,486 Reaction score 1,179 May 6, 2016 #2 Naishusha leo
Transman JF-Expert Member Joined Mar 30, 2013 Posts 870 Reaction score 654 May 7, 2016 #3 Stay with mee