Video: Baada ya Mbowe na wenzake kutolewa Mahakamani , Viongozi na wafuasi wa Chadema wafungiwa ndani ya Mahakama

Wafuasi wa chadema jiandaeni kisaikolojia, Rejea mahojiano kati ya Rais na Kikeke. Nadhani majibu mnayo
 
Hii ndio mbinu mpya ya kishamba ya Polisi ya kuhakikisha Wanachama wa Chadema hawapati nafasi ya kumuaga mwenyekiti wao Mbowe

View attachment 1999753

As long As Kingai ni RPC wa Kinondoni Kuna kila dalili sasa ya wafuasi wa Chadema kuja kuchomwa moto ndani ya Mahakama hii kwa kisingizio cha shoti ya umeme , Ngoja tusubiri
Hivi ikatokea mtuhumiwa akadhuriwa kwa namna yeyote ile, lawama zitakuwa kwa WanaCDM au tutasema polisi ni wazembe, hapo wanalinda usalama wao, hauwezi jua huenda ikawa kuna anayetaka kumdhuru Mshtakiwa, siku hizi mtu akikushika tu hata mkono ni mambo mengine, kuna kuua kwa sumu, Hapo sio kwenye sherehe kwamba lazima tuagane kwa shangwe na kukumbatiana, Upo Wrong mkuu. kwa sababu za kiusalama.
 
Umeufuata moyo wako, ukasahau akili
 
Wafuasi wa chadema jiandaeni kisaikolojia, Rejea mahojiano kati ya Rais na Kikeke. Nadhani majibu mnayo
kufungwa kwa Mbowe ni kazi ya Kitume ya Mungu mwenyewe , fuatilia kuuawa kwa Bwana Yesu
 
Hivi ikatokea mtuhumiwa akadhuriwa kwa namna yeyote ile, lawama zitakuwa kwa WanaCDM au tutasema polisi ni wazembe, hapo wanalinda usalama wao, hauwezi jua huenda ikawa kuna anayetaka kumdhuru Mshtakiwa, siku hizi mtu akikushika tu hata mkono ni mambo mengine, kuna kuua kwa sumu, Hapo sio kwenye sherehe kwamba lazima tuagane kwa shangwe na kukumbatiana, Upo Wrong mkuu. kwa sababu za kiusalama.
Nani alikupiga fix kwamba Watuhumiwa waagwa hivyo ?
 
Duh.....au kiki tu!

Hii kesi inaweza kwisha kabla ya wakati.
Hapo ndipo unavyoonesha utofauti na wale wengine wasioweza kuuona ukweli au wanaona lakini wanapingana na ukweli huo. Nadhani hii kesi imewakalia vibaya Polisi. Tusubiri tuone mwisho wake.
 
Hii ndio mbinu mpya ya kishamba ya Polisi ya kuhakikisha Wanachama wa Chadema hawapati nafasi ya kumuaga mwenyekiti wao Mbowe

View attachment 1999753
Hii ndio mbinu mpya ya kishamba ya Polisi ya kuhakikisha Wanachama wa Chadema hawapati nafasi ya kumuaga mwenyekiti wao Mbowe

View attachment 1999753

As long As Kingai ni RPC wa Kinondoni Kuna kila dalili sasa ya wafuasi wa Chadema kuja kuchomwa moto ndani ya Mahakama hii kwa kisingizio cha shoti ya umeme , Ngoja tusubiri
Nchi hii iheshimu uhuru na haki kwa raia ,na utawala wa sheria.

As long As Kingai ni RPC wa Kinondoni Kuna kila dalili sasa ya wafuasi wa Chadema kuja kuchomwa moto ndani ya Mahakama hii kwa kisingizio cha shoti ya umeme , Ngoja tusubiri
Nchi hii ihexhimu
 
Back
Top Bottom