TataMadiba
JF-Expert Member
- Feb 7, 2014
- 9,870
- 5,755
​tunachoma na kitanda wakizingua potelea mbalitunasema hivi: Kunguni mwisho wake oct 25 kitanda chetu kiwe salama!
Lema kaanikwa kwelikweli na huyu jamaa. Atakuwa anajua madudu mengi sana ya Lema.
[video=youtube_share;eO1XmsGDepM]http://youtu.be/eO1XmsGDepM[/video]
Tulieni sindano iingie vizuri na dawa ikolee......CCM imeanza kuwatandika kila kona, yaana kama kawa.
CCM Haipo Arusha Huyu Anapoteza Muda wake Tu..
Mnajichoma wenyeweTulieni sindano iingie vizuri na dawa ikolee......CCM imeanza kuwatandika kila kona, yaana kama kawa.
Lema kaanikwa kwelikweli na huyu jamaa. Atakuwa anajua madudu mengi sana ya Lema.
[video=youtube_share;eO1XmsGDepM]http://youtu.be/eO1XmsGDepM[/video]
Lema bye bye Arusha ...huu ni ukweli mchungu.
lema kaanikwa kwelikweli na huyu jamaa. Atakuwa anajua madudu mengi sana ya lema.
[video=youtube_share;eo1xmsgdepm]http://youtu.be/eo1xmsgdepm[/video]