Regia Mtema
R I P
- Nov 21, 2009
- 2,970
- 873
VIKKY KAMATTA DADA MWENYE MAFANIKIO MAKUBWA
Nimesoma kwenye gazeti moja hivi kwenye page ya katikati inaeleza kuwa uyu dada yeye anamafanikio makubwa sana kwaville amemaliza masters ya uingereza na kuafaulu vyema, na muimbaji mahili anaeijuwa kazi yake, na mfanyakazi wa BOT. ila nilipata NEW kuwa vikky alifeli uko SOUTHAMPTON SOLENT UNIVERSITY UK. JE ni KWELI NA NI KWELI KASUBMITH CHETI FEKI BOT. sasa kama dada vikky unavimeo na kunawatu uliosoma nao wanajuwa sasa yanini kujitowa magazetini kila siku mama. EBU SOUTHAMPTON SOLENT PRODUCT TUPENI DATA tumechoka kubebana kila siku kawasababu ya nanii kuna ndugu yangu alionekana ni forgel alikosa kazi BOT why vikky she is still in.
hujambo mrembo?Hiyo ndio masters gani tena?nifafanulie tafadhali.
Mhh cheti siku hizi ni umbo lako naona lol!
wewe la kwako vipi?
la tosha kukupatia kazi bot??????
kama ni yes,nione pm.....
kuna kazi bora zaidi..........
maria ni mwanaume????Hahahaha wanaume hawana nafasi wee!
maria ni mwanaume????
wewe la kwako vipi?
la tosha kukupatia kazi bot??????
kama ni yes,nione pm.....
kuna kazi bora zaidi..........
Mmh boss umeshinidikana..hakuna tiba mbadala ili upone?
maradhi ya jinsi hiyo hayaponi ndugu yangu hadi mwisho wa dunia......
It seems kuna watu waongo-reading from this info humu.... Juzi nilikuwa naongea na jamaa yangu pale mitaa ya kati tunapata lunch akaniambia kwamba huyo dada..(alikuwa amepita) kwamba amefanya masters shule moja inaitwa London School of Economics huko UK.
So was he wrong? Maana mimi nilijua ni kichwa sana..ukichukulia hiyo shule inavyoheshimika.
Masanja
Mimi nadhani yanapona..Nimewahi kuwasikia wahubiri wengi tu wakidai kwamba wao walikuwa kama Boss lakini wamepona.Hakuna lisilowezekana kwa MUNGU.
Itabidi tumtatafute Mzee Kifimbo yule wa Sani; Halafu watu wanapiga kelele hapa Oooh tungekuwa tunafundisha kwa kiswahili Ooooh watoto wangeelewa. Hata kiswahili ni kigumu pia!VIKKY KAMATTA DADA MWENYE MAFANIKIO MAKUBWA
Nimesoma kwenye gazeti moja hivi kwenye page ya katikati inaeleza kuwa uyu dada yeye anamafanikio makubwa sana kwaville amemaliza masters ya uingereza na kuafaulu vyema, na muimbaji mahili anaeijuwa kazi yake, na mfanyakazi wa BOT. ila nilipata NEW kuwa vikky alifeli uko SOUTHAMPTON SOLENT UNIVERSITY UK. JE ni KWELI NA NI KWELI KASUBMITH CHETI FEKI BOT. sasa kama dada vikky unavimeo na kunawatu uliosoma nao wanajuwa sasa yanini kujitowa magazetini kila siku mama. EBU SOUTHAMPTON SOLENT PRODUCT TUPENI DATA tumechoka kubebana kila siku kawasababu ya nanii kuna ndugu yangu alionekana ni forgel alikosa kazi BOT why vikky she is still in.
It seems kuna watu waongo-reading from this info humu.... Juzi nilikuwa naongea na jamaa yangu pale mitaa ya kati tunapata lunch akaniambia kwamba huyo dada..(alikuwa amepita) kwamba amefanya masters shule moja inaitwa London School of Economics huko UK.
So was he wrong? Maana mimi nilijua ni kichwa sana..ukichukulia hiyo shule inavyoheshimika.
Masanja
Huyu mdada kichwani hamna kitu kabisa. Alisoma certificate course pale Nyegezi (St Augustine University) akitokea huko bush alikokuwa anafundisha shule ya msingi, na baadaye alifanya advanced diploma ya mass communication hapo hapo Nyegezi. Aliibuka wakati wa kampeni za 2005 akiimba imba, na ndipo fataki mmoja maarufu akamnasa. Kwamba alienda kusoma Masters ni ajabu na kweli. Waliosoma naye Nyegezi wanasema kichwani ni mtupu vibaya sana! Kuna tetesi pia kwamba amezaa na huyo fataki kiongozi.
hey hey hey!!!
mleta mada vipi huyu dada ni my wife wa prreesidaaa!
ana mtoto anafanana sana na prrresid---nt wakati yuko SAUT alikuwa anaishi nae pale karibu na shule ya ngaza ambapo alikuwa amepanga kwenye moja ya house kali,
sasa wewe uliza vya watu