Kumpeda yesu na kuokoka ni sawa? ? ?Zilikuwa ni habari za uvuguvugu nilizokuwa nazisikia bila kuamini, ila jana alithibitisha mwenyewe pale alipouulizwa na mtangazaji Rita wa Praise power pale Diamond Jubilee kama ni kweli ameokoka au lah!! Vick alijibu hivi " Yes!! nampenda Yesu"
kuthibitisha hayo aliimba kibao chake kinachooitwa yakale yamepita katika mashairi ya wimbo wake kuna maneno yanayosema hivi" kama mfalme ameshanisamehe ww ninani unayeendelea kunisumanga? unayeendelea kunisema vibaya?? yakale yamepita!!!
Ni wimbo mzuri na wenye kuvutia!!
Kumpeda yesu na kuokoka ni sawa? ? ?
Je wewe humpendi yesu?
Kakukosea nini hata usimpende?
Nata hujanielewa!! vicky kaulizwa eti ni kweli umeokoka?? akajibu Yes kumaanisha kwamba ameokoka then akajibu nampenda Yesu!!
ningekuwa simpendi Yesu huko kwenye matamasha ya miziki ya injili ningekwenda kufuata nini??
nivema kuelewa kuliko kujibu usichokielewa!!
Kazi kweli kweli!
weweeeeeeeeeeee!
kimyaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa
uliongea nae?
kama mfalme ameshanisamehe ww ninani unayeendelea kunisumanga? unayeendelea kunisema vibaya?? yakale yamepita!!!
ina maana mkwere alie tuu huduma imesitishwa au itaendelea?
Zilikuwa ni habari za uvuguvugu nilizokuwa nazisikia bila kuamini, ila jana alithibitisha mwenyewe pale alipouulizwa na mtangazaji Rita wa Praise power pale Diamond Jubilee kama ni kweli ameokoka au lah!! Vick alijibu hivi " Yes!! nampenda Yesu"
kuthibitisha hayo aliimba kibao chake kinachooitwa yakale yamepita katika mashairi ya wimbo wake kuna maneno yanayosema hivi" kama mfalme ameshanisamehe ww ninani unayeendelea kunisumanga? unayeendelea kunisema vibaya?? yakale yamepita!!!
Ni wimbo mzuri na wenye kuvutia!!
jamani kama ameokoka ni kwa neema ya Mungu, sote tumuombee asonge mbele, kama kulikua na huduma zozote alizokuwa anazitoa kwa mtu fulani basi azisitishe.
Haya maneno ni ya mtu asiyejiamini..
Sipendi kabisa watu wenye hii tabia ya kujihami dhidi ya wenzake; eti wananisema, wananisimanga... we nani??