Vichwa vya Habari Miaka 10 +

[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Punga kabisa...yaani umuongezee muda wa kutawala ili awe rais wa maisha?akili ndogo km hizi ndo zinachelewesha maendeleo.kuna marais wamezifanyia nchi zao mambo mazuri na makubwa lakini wananchi wao hawakubweteka eti wamuongezee muda.
Haahaa mkuu wacha tu aongezewe kwani kuna nini...
 
Jf kuna watu wanao thababisha kuwepo kwa Aman na Furaha
 
Dragon Hunters Duu!!! Ahahaaaaaaa Lala tena uendeleze ndoto yako iko poa
 
Pole sana, mamvi hawezi kuja kuwa rais wa Tanzania.
 
 
Hahahhahahahhaah aliesema ndoto ni bure hakukosea.
 
Vichwa vya habari virefu hivyo,hapo sijui magazeti yatakuwa na ukubwa gani!!
 
MBEGGE ILIYOCHNGANYWA NA VIROBA ZA ASUBUHI TAMU KWELI!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…