hamumjui Kinyambe wa vituko show nyie,yule ni Mr bean iseee.hata asipozungumza utacheka tu
weeee! kinyambe ni another level! yaani huwa siku izi nikiona cd ina picha ya kinyambe tu lazma ninunue maana mambo yake tu yatakuvunja mbavu.hamumjui Kinyambe wa vituko show nyie,yule ni Mr bean iseee.hata asipozungumza utacheka tu
ebana kuna vichekesho vinaonyeshwa chanel 5 kila jumatano saa 3 kamili usiku...dah ebana hawa jamaa wanajuwa....kuna mshkaji anaongea kama Yesu ni nooma....
So unafurahia Yesu kuigizwa,Yesu amekuwa kichekesho?Hivi mtume muhamad akiigizwa wale jamaa zetu patakalika kweli?Me huwa naangalia vichekesho vyao,wanafurahisha but yule anayemuigiza Yesu anaomba sh. mia aache aisee inaweza mletea matatizo
yes kinyambe ni nouma,sipati picha akiwa kawaida anakuaje.
Na kwa huu ujio wa VINGAMUZI nikiangalia vichekesho vya wenzetu CITIZEN yaani tunachofanya ni aibu tupu......Ila kwa upande wa Televisheni nawatupia lawama wamiliki wa hivi vituo, Hawako tayari kununua UBUNIFU wanataka uje BURE kwa kuwalazimisha hao wasanii wao wafanye wanachoweza na ndio tunachoona kinachofanyika kwenye TV zote za bongo, Wasanii nao wanaishia kufanya kile wanachoweza na kamwe tusitarajie wataenda zaidi ya hapo. UBUNIFU NI GHARAMA jamani. Wamiliki wa vituo wajipange, watafute SCRIPT za vichekesho kwa gharama, Anachofanya BAMBO na wengine ndio wamegotea hapo....