Vichanga hawa wanakosa gani?

Vichanga hawa wanakosa gani?

Strawberry

JF-Expert Member
Joined
Nov 29, 2012
Posts
274
Reaction score
108
Jamani mapenzi matamu kweli kweli.sasa sijui huyoo mama wa hicho kichanga alibakwa,alikuwa mapenzini na njemba likakataa mimba ama vipi?Adi inafikia hatua ya kuzaa na kuamka kukachimbia katoto na kukafukia.
Ila Mungu mkubwa jamani pampja na kufukiwa kamepigania uhai wake adi kamepona.wasamalia wema wakakaona wakakafukua na kukapeleka hospital.
Akina kaka jamani tumieni busara jamani msikatae viumbe vyenu.

attachment.php
 
Attachments

  • mmh.jpg
    mmh.jpg
    25.5 KB · Views: 496
wanaume ndio chachu /sababu kubwa mpakakufikia wanawake kutupa watoto, Tafadhari wababa tunaomba mkubali kuhudumia mimba/ watoto zenu,
 
tafiti zinaonyesha mwanamke anapozaa anakuwa kama mnyama akili zinaruka
wengine hata huwalalia watoto wao,wengine huwanyonga,wengine huwatupa chooni
pia inasababbishawa na msongo wa mawazo.
kwa nchi za wenzetu hupimwa kabisa akili kwanza kama kafanya tukio kama hili
 
mh baadaye huyu mtoto anakuja kuwa hata raisi mama anarud kuomba msamaha duh?
 
Huyo anaonyesha atakuwa commonder mana si mchezo mpaa kasalimika kwenye hali kama hio.

Yani inasikitisha sana ku-wa watoto wasio na hatia.
 
Mwenzenu nimeogopa kama nini halafu nimeumia sana! Ukatili mkubwa jaman wapenzi kama hamko tayar kwa uzazi tafadhali tumien kinga jaman kuliko kuja kufanya ukatili huu mkubwa,mwee! Wengine wanasema cha nini wengine tukipate lini!
 
kwa nini wanapanua miguu yao kama wanaona hawana uwezo wa kuwa mama?
Sikiliza , Si kwa nn wanapanua miguu, inakuta alikuwa anafanya yale ili apate jao 1000/= tu ya kunywa chai lakini Mungu si juma akashika ujauzito na pesa ya kutolea hana. Sasa Hapo usilaumu kwa nn wanapanu , la muhimu ni kulaumu kwa nini wakipanua hawatumii kinga. maana mama wa huyu mtoto amngetumia CONDOM asingeshika mimba.

ALL IN ALL MTOTO NI MZURI .
 
Jamani mapenzi matamu kweli kweli.sasa sijui huyoo mama wa hicho kichanga alibakwa,alikuwa mapenzini na njemba likakataa mimba ama vipi?Adi inafikia hatua ya kuzaa na kuamka kukachimbia katoto na kukafukia.
Ila Mungu mkubwa jamani pampja na kufukiwa kamepigania uhai wake adi kamepona.wasamalia wema wakakaona wakakafukua na kukapeleka hospital.
Akina kaka jamani tumieni busara jamani msikatae viumbe vyenu.

Palipo mkono wa Mungu shetani hana mabavu.
 
Nimemkumbuka mwanangu mwenye mwezi mmoja, inatia uchungu sana.!
 
Sema: Njooni nikusomeeni aliyo kuharimishieni Mola wenu Mlezi. Nayo ni kuwa, msimshirikishe Yeye na chochote. Na wazazi wenu wafanyieni wema. Wala msiwauwe watoto wenu kwa sababu ya umasikini. Sisi tunakuruzukuni nyinyi na wao. Wala msikaribie mambo machafu, yanayo onekana, na yanayo fichikana. Wala msiuwe nafsi ambayo Mwenyezi Mungu ameharimisha kuiuwa, ila ikiwa kwa haki. Hayo amekuusieni ili myatie akilini. (Al-An'aam: 151)
 
Sikiliza , Si kwa nn wanapanua miguu, inakuta alikuwa anafanya yale ili apate jao 1000/= tu ya kunywa chai lakini Mungu si juma akashika ujauzito na pesa ya kutolea hana. Sasa Hapo usilaumu kwa nn wanapanu , la muhimu ni kulaumu kwa nini wakipanua hawatumii kinga. maana mama wa huyu mtoto amngetumia CONDOM asingeshika mimba.

ALL IN ALL MTOTO NI MZURI .

Kama vp si mfunge kizazi ili muache kuzaa mwendelee kupanua kwa raha zenu
 
Back
Top Bottom