Vichaka Vyenu Vinakatisha Mud bwana,

Mkuu kama ulikuwa kichwani kwangu, umemaliza yote niliyofikiri. ahsante
 

Vya tatu ndo hivi we huoni kila mahali vurugu tu... vya nne ni wapenzi
 
Mkuu pokea like yako...
 
Ni yuleyule mwenye kibamia ndo amefuga msitu????!!!!! Kumbe ndo maaana ulikuwa huioni!!!!!! Msaidie......
 
Nyie wanawake na wanaume mnaokaa kudiscuss topic kama hizi na kuanza kubishana bishana wote akili zenu haziko sawa. watanzania sijui mna akili za aina gani au ni nini inasabisha muwe na akili mbovu??? Lishe au umasikini??? hebu badilikeni mnaboa sana!!! Pumbafffff!!!
 
Wenye vichaka nawasikie,inspector napita,hali ikizidi kua mbaya nitarudi japo kurusha la machozi kutuliza hali ya hewa!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…