Habari wapendwa, Natumai wazima,majukumu ni kawaida..
Wale wapenzi wa kuiba waume za watu/ Waume Msiotulia na wake zenu
Shostito anadate na mume wa mtu, kammiss jibaba na kuamua kumtext " baby,kwahiyo leo utakuja kama ulivypsema?"
majibu yakaja "We Malaya mimi mkewe"
Shost akajibu, "Niulizie af Utaniambia"...baada ya dakika kumi Text ikaingia mkewe kajibu " Anakuja"
Ukosefu wa heshima wa ndoa toka kwa kimada kunasababishwa na nyie mapapa unatoa taarifa zooote za nyumbani kwako kwa kimada, Kimada sasa anajidai kushikilia usukani,....Hebu fikiria unamuumiza kiasi gani Mkeo?
af ukikutana na kimada unamtukana na mkeo "aaah yule m##@@@ tu hana lolote" likimada mkichwa huooo...
Nyie wezi nanyi Jaribu kuheshim ndoa za watu,Hebu jaribu kupata picha wewe unaingia kwenye ndoa yako utajisikiaje ukifanyiwa hivyo??