Vibarua maonyesho ya Sabasaba

Nilikuwa na jamaa zangu walikuwa wanakuja kuonesha bidhaa zao toka Dubai, walikuwa wanawalipa vizuri sana vibarua wao. Bahati mbaya nilipotezana nao!

Lakini mtu ukitaka kazi 7 7 ni vizuri ukaenda pale direct kuliko kuulizia huku unabadili station za t.v. nyumbani
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…