Wakuu, kama tunavyoelewa idhini ya kujenga inatolewa na manispaa ktk mkoa uliopo na kabla ya kupewa kibali hicho ni lazima (mbali na vitu vingine)uambatanishe na michoro ya ramani ya nyumba yako tena iliyochorwa na mtaalamu(msanifu majengo), sasa, maswali ninayojiuliza, je ni watanzania wote wanakuwa na uwezo wa kuwatumia wahandisi(wasanifu majengo) ktk ujenzi wao? au hii ni kwa ujenzi wa maghorofa tu?
Naombeni mwenye uelewa juu ya hili anieleweshe tafadhari!