Unatakiwa kuwa na Leseni ya Biashara, uwe umelipia mapato(uwe na ile karatasi ya mchanganuo wa ulipaji wako wa kodi kwa mwaka). Document nyingine utazipata mnadani. Kama unataka kusafirisha ať once tuwasiliane unaweza tumia nyaraka zangu. Kwa maelewano. Ila nakushauri tafuta mtu mwenyeji na mzoefu otherwise utaenda kukata hela yako. All the best