Viatu Vya Komredi Polepole

Du kama polepole ndio mnaona anafaa na hakuna mbadala kweli hii nchi hamna mwenye utimamu wa akili
 
Makonda kosa lake nikusofia magufuti badala ya kumponda kila siku
 
Amos makala kuwa kati u mwenezi sbb ni circle ya kuiba fedha za miradi feck kwa ajili ya uchaguzi,,makonda angelopoka sikumoja hiyo mbinu ya kuanzisha miladi harafu Wana hukua pesa kwa ajili ya kampeni
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ