honorto Senior Member Joined Mar 27, 2017 Posts 188 Reaction score 102 Oct 2, 2017 #1 Habari zenu wana janvi. Jaman kama kuna mfanyabiashara humu ndani naomba anisaisie ivi viatu bei ya viatu being gani? Huku kwetu Mbeya reja reja vinauzwa7000. Sasa nahitahitaji kujua being take ya jumla na wapi ntaweza kupata?
Habari zenu wana janvi. Jaman kama kuna mfanyabiashara humu ndani naomba anisaisie ivi viatu bei ya viatu being gani? Huku kwetu Mbeya reja reja vinauzwa7000. Sasa nahitahitaji kujua being take ya jumla na wapi ntaweza kupata?