Kete ya CCM ipo hapaMtazamo wako ni mzuri na unapaswa kusikilizwa na kupewa muono mahususi tunapoelekea kilingeni
Asante. Nakumbusha pia suala la wasimamizi kuwapangia mawakala vituo. Chadema viongozi hakikisheni mawakala wanapangwa mapema (sio last minute), maana watafanya figisu ya kumpanga wakala kituo cha mbali ambapo au atachelews au kushindwa kabisa kufika.Kesho ndio siku ya kuapishwa mawakala wa vyama katika uchaguzi mkuu.
Tukumbuke kuwa wakala anaapa halafu anaondoka bila utambulisho wowote, yaani anaondoka kama mimi na wewe!
Eti wakala anaenda mikono mitupu kituo cha kupigia kura eti kujitambulisha kwa msimamizi wa uchaguzi ndio apewe barua ya uwakala?
Msimamizi wa uchaguzi atamtambuaje kama huyu ndiye yule aliyeapishwa?
Kwanza msimamizi wa uchaguzi atamuomba kitambulisho cha uraia au leseni ya udereva au pasi ya kusafiria ili atambue kuwa ni yeye -
1) Holaa, hana! anamkataa, anasema nitajuaje kama ni wewe! Mzozo unaanza! Anatolewa
2) Kama anavyo vitambulisho vitamulikwa kwa darubini kuhakikisha havitofautiana hata kidogo mpangilio wa majina au spelling ya jina. Kama kuna tofauti yoyote msimamizi anamkataa. Mzozo unaanza! Afande anapapasa AK47, wakala anatolewa!
Lengo la haya yote ni kuwachelewesha mawakala kuingia vituoni.
Simu zitapigwa weeee, mawakala wakija kukubalika ni baada ya masaa, hapo ujue kura bandia kibao zitakuwa zimeisha penyezwa.
Yaani CCM ni shiiiidaaaa!
Natabiri mzozo mkubwa mwanzo kabisa mwa kupiga kura.
TAHADHARI:
1). HAKIKISHA MWAKALA WANA VITAMBULISHO
2. HAKIKISHA MAJINA YA MAWAKALA MNAYOPELE KWA TUME YANAFANANA KWA MPANGILIO NA SPELLING KAMA VITAMBULISHO WALIVYONAVYO.
3). MAWAKALA MSIJESAHAU VITAMBULISHO VYENU IWE LESENI, PASPOTI, VYA NIDA, AU CHA KUPIGIA KURA, vinginevyo utatupiliwa mbali
Huo ni mtazamo wangu! We unasemaje!
Nakala za matokeo ni lazima, busipotoshe.Kuna na ile ya mawakala wa vyama kutopewa nakala ya matokeo. Tume inasema watapewa kama zitakuwepo. Kiufupi yametengenezwa mazingira ya kuhujumu huu uchaguzi.
Hivi inakuwaje mtu hajui mpangilio wa majina yake halafu unamlaumu msimamizi wakati yeye anasimamia sheria? Wakala wako akiboronga wewe lia na wakala wako uliyemteua mwenyewe usilaumu tume.Kesho ndio siku ya kuapishwa mawakala wa vyama katika uchaguzi mkuu.
Tukumbuke kuwa wakala anaapa halafu anaondoka bila utambulisho wowote, yaani anaondoka kama mimi na wewe!
Eti wakala anaenda mikono mitupu kituo cha kupigia kura eti kujitambulisha kwa msimamizi wa uchaguzi ndio apewe barua ya uwakala?
Msimamizi wa uchaguzi atamtambuaje kama huyu ndiye yule aliyeapishwa?
Kwanza msimamizi wa uchaguzi atamuomba kitambulisho cha uraia au leseni ya udereva au pasi ya kusafiria ili atambue kuwa ni yeye -
1) Holaa, hana! anamkataa, anasema nitajuaje kama ni wewe! Mzozo unaanza! Anatolewa
2) Kama anavyo vitambulisho vitamulikwa kwa darubini kuhakikisha havitofautiana hata kidogo mpangilio wa majina au spelling ya jina. Kama kuna tofauti yoyote msimamizi anamkataa. Mzozo unaanza! Afande anapapasa AK47, wakala anatolewa!
Lengo la haya yote ni kuwachelewesha mawakala kuingia vituoni.
Simu zitapigwa weeee, mawakala wakija kukubalika ni baada ya masaa, hapo ujue kura bandia kibao zitakuwa zimeisha penyezwa.
Yaani CCM ni shiiiidaaaa!
Natabiri mzozo mkubwa mwanzo kabisa mwa kupiga kura.
TAHADHARI:
1). HAKIKISHA MWAKALA WANA VITAMBULISHO
2. HAKIKISHA MAJINA YA MAWAKALA MNAYOPELE KWA TUME YANAFANANA KWA MPANGILIO NA SPELLING KAMA VITAMBULISHO WALIVYONAVYO.
3). MAWAKALA MSIJESAHAU VITAMBULISHO VYENU IWE LESENI, PASPOTI, VYA NIDA, AU CHA KUPIGIA KURA, vinginevyo utatupiliwa mbali
Huo ni mtazamo wangu! We unasemaje!
Tukatae huo upuuziKuna na ile ya mawakala wa vyama kutopewa nakala ya matokeo. Tume inasema watapewa kama zitakuwepo. Kiufupi yametengenezwa mazingira ya kuhujumu huu uchaguzi.
Kanuni 63(2) ya Uchaguzi wa Rais na Wabunge wa JMT inatamka bayana kuwa mawakala wa vyama vya siasa watapewa form ya matokeo ya uchaguzi vituoni (form namba 20) ‘iwapo kutakuwepo nakala za kutosha’.Nakala za matokeo ni lazima, busipotoshe.
Kanuni 63(2) ya Uchaguzi wa Rais na Wabunge wa JMT inatamka bayana kuwa mawakala wa vyama vya siasa watapewa form ya matokeo ya uchaguzi vituoni (form namba 20) ‘iwapo kutakuwepo nakala za kutosha’.
Umeona shida ilipo mkuu? Kwa nini waseme iwapo kutakuwepo nakala za kutosha? Ni kipi hakijulikani ? Kwamba idadi ya vyama + idadi ya mawakala wanaohitajika * idadi ya jumla ya vituo haijulikani ?
No!Kitakachotokea ni kwamba tume watakosea makusudi jina kwenye form halafu wakala akifika kituoni ataambiwa aliopo kwenye form siyo yeye!Hivi inakuwaje mtu hajui mpangilio wa majina yake halafu unamlaumu msimamizi wakati yeye anasimamia sheria? Wakala wako akiboronga wewe lia na wakala wako uliyemteua mwenyewe usilaumu tume.