Vga setup ya dell latitude d6500

Vga setup ya dell latitude d6500

SEKIETE

Member
Joined
Nov 3, 2010
Posts
9
Reaction score
1
Habari wadau,naombeni SETUP ya VGA laptop yangu ni DELL LATITUDE E6500
 
Ili siku nyingine usiumize kichwa sana jaribu kutumia Drive identifier. Inakusaidia ku identify drivers zote zinazomiss kwenye windows yako.

Ukii run inaleta list ya driver zote compartible pamoja na status, then utatakiwa kudownload au ku updated kulingana na mahitaji yako.

Mambo ya kuzingatia,
1. Uwe na internet connection.
2. Tambua kwanza os yako ie. Wind XP/Vista/7 (32/64bit) ili usije ukadownload driver isiyohusika.

Kwa leo ni hayo tu.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom