Veta veta veta

Joined
May 21, 2019
Posts
15
Reaction score
6
Nataka kujua kuhusu ghrama na muda wakusomea udereva veta pia ambaye anayo lecense class c kuna kaz katika hotel yang
 
Ina tegemea una soma koz ya muda gani

Je wew ni dereva tayari unae taka kupanda daraja au ndio una jifunza

Koz zipo za miez 6,3,na weeks Ina tegemea na mteja Unataka nini
 
Nataka kujua kuhusu ghrama na muda wakusomea udereva veta pia ambaye anayo lecense class c kuna kaz katika hotel yang
Ukifika veta reception sjui ndo pale dirishani wanatoa form za kuangalia course na bei yake hizo za udereva zipo juu kabisa au mwanzo wa karatsi fanya uende
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…