zuberi Abraham
JF-Expert Member
- Feb 13, 2016
- 480
- 389
Mkuu unasema kwel ???[emoji22] [emoji22] [emoji22] [emoji22]Watu washa ajiriwa mkuu
Acha kuturusha roho...Watu washa ajiriwa mkuu
Namimi mkuu ninasubilia sijui kulikoni huko VETAHabari wana bodi
Msaada wa taarifa za interview kwa nafasi mbalimbali zilizotangazwa veta mwishoni mwa mwezi wa 5 mwaka huu.
Ok tupeane update, Naaomba Mods msifute uzi huu hadi waanze kuita interviewBado hata shortlist haijapangwa
UJINGA HUU NA WW USIPUMBAZWE
Kweli wacha tuwe wapol tu wanasema mambo mazuri hayahitaji harakaKiuikweli hata Shortlist bado. Kuweni na subra mtataarifiwa.
Any updates so far?.. Takriban mwezi mmoja sasa tangu deadline ya TangazoHabari wana bodi
Msaada wa taarifa za interview kwa nafasi mbalimbali zilizotangazwa veta mwishoni mwa mwezi wa 5 mwaka huu.
Jaman ebu tujuzane tu kwa upole kabisa kuna interview za VETA kweli au labda ziloishapita bila kuskia au ninn mana unaweza ukawa kimya kumbe kilishaiva na kuliwa kitambo