umeona eeh, wakiwa na majina yao ya ukweli wanajifanya watakatifuuu.Hahaha...huwaoni kwa kuwa wana ID's nyingine...hivyo tupo nao humu humu mkuu!!!
Yaani nije na ile ID yangu verified?
Nikiwa nachangia bungeni si mtaanza kusema mpenda story za mapenzi huyo?
Multiple ID's inatusaidia sana watu kama sisi na heshima zetu!
mbona tunachangia tu jamani