Evelyn Salt
JF-Expert Member
- Jan 5, 2012
- 63,681
- 112,898
Wanatumia fan base yao ya Instagram kufanya Mziki......Hawana Vipaji bali wanataka kujirecord video ndefu kwenye muziki maana za insta zina max 60sWadogo zangu Vera na Hamisa (wote wana miaka 20 ni wadogo zangu), hongereni kwa kujaribu kuimba, sio kwa ubaya ila hamjui kuimba dears, mziki mnaupenda ila wenyewe hauwapendi. Sauti zenu nyembambaa haziburudishi labda mkaimbe nyimbo za injili.
Kipaji cha kuimba hamna, mashairi mabovu yanayotokana na hisia tu Vera baada ya kuchoka kiben ten chake kaibuka na wimbo, Hamisa nae kuzaa huku na kule bila uelekeo na bado hawamuelewi kaibuka na wimbo. Vi nyimbo havina mbele wala nyuma
Sio lazma kila mtu aimbe wengine tubaki mashabiki, tuburudishwe na wenye vipaji vyao. Ni hayo tu.
Tangu kuzaliwa kwangu sijawahi kusikia wimbo mbaya zaidi ya wimbo mpya wa Hamisa Mobeto. Uuuuuwiiii ukisikiliza unaweza kuchukia muziki jumla.
Ni kweli, heri wadange tuUdangaji ndo kipaji chao,kuimba wawaachie akina Nandy
Pale hamna kitu...huwez sikiliza mara mbili...Tangu kuzaliwa kwangu sijawahi kusikia wimbo mbaya zaidi ya wimbo mpya wa Hamisa Mobeto. Uuuuuwiiii ukisikiliza unaweza kuchukia muziki jumla.
Ni kweli....Wadogo zangu Vera na Hamisa (wote wana miaka 20 ni wadogo zangu), hongereni kwa kujaribu kuimba, sio kwa ubaya ila hamjui kuimba dears, mziki mnaupenda ila wenyewe hauwapendi. Sauti zenu nyembambaa haziburudishi labda mkaimbe nyimbo za injili.
Kipaji cha kuimba hamna, mashairi mabovu yanayotokana na hisia tu Vera baada ya kuchoka kiben ten chake kaibuka na wimbo, Hamisa nae kuzaa huku na kule bila uelekeo na bado hawamuelewi kaibuka na wimbo. Vi nyimbo havina mbele wala nyuma
Sio lazma kila mtu aimbe wengine tubaki mashabiki, tuburudishwe na wenye vipaji vyao. Ni hayo tu.
ahahahah jamani haha anaonekana anawatu wanamforce kufanya anayoyafanya halafu bado anajiina mdogo😂Hamisa anachoweza ni kuzaa tu.
Halafu watu kama wakina barnaba eti wanamsifia aki bongo kuna unafki😂Mara mia vera
Hii shida ya nchini kwetu ndio imezidi..sauti yenyewe sasa kuumizana masikio tu