VEOs, WEOs Kiteto waonywa

JAMHURI

JF-Expert Member
Joined
Dec 15, 2010
Posts
449
Reaction score
60
Katika kile kilichoelezwa kuwa ni kufanya kazi kwa mazoea, watendaji wa vijiji na kata, Wilayani Kiteto Mkoani Manyara, wameonywa kufanya kazi kwa mazoea.

Akizungumza kwa hisia kali Mkurugenzi wa halm ya Wilaya ya Kiteto Tanimu Kambona kwenye kikao cha ushauri cha Wilaya DCC alisema watendaji wamekuwa wakaidi hawafanyi kazi kama matakwa ya ajira zao yanavyosema

"Mimi ndio mwajiri wenu..natoa onyo sitomwonea haya mtendaji yoyote atakaye kiuka sheria na taratibu..ni hivi juzi tu kuna mwenzenu muulizeni alikuwa na mazoea ya kunywa pombe mpaka anavua nguo yuko wapi"

Alisema baada ya kuwekwa ndani Polisi alikutana na mashitaka kisha akafuatwa na barua ya kuachishwa kazi..akaendekee kulewa huko alisema Mkurugenzi mtendaji wa halm ya Kiteto.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…