Ventilation on MCC move is primed on wrong assumptions

Lakini mbona uchaguzi wa zanzibar unamhusu January Makamba? Akiwa kama waziri wa JMT ,kumbuka yeye sio mzanzibari, alikwenda kusimamia uchaguzi wa marudio. Wacha unafiki wako wa kijinga jinga.


Sent from my SM-G920W8 using JamiiForums mobile app


Suala la MCC halihusiani na Zanzibar wala cyber law. JPM hahusiki na yote mawili. MCC imechukua hatua hizo kwa sababu ya mwelekeo wa serikali mpya wa kutaka kuijenga nchi.
 
Unajua maana ya usuruhishaji wa migogoro?

Kama pande mbili zinazikinzani zimeshindwa kupata muafaka lazma aingie kati yao mtu wa kuintervene. Na ndio mantiki ya Mufuruki kutaka Tanganyika isaidiane na Zanzibar kupata muafaka.

Tanganyika na Zanzibar ni kitu kimoja na nafikiri kupitia hili la MCC umeanza kuona kuwa tukidhani "wao" wataumia peke yao ni kujidanganya. MCC walikubaliana na Tanzania si Zanzibar wala Tanganyika.
 
Wewe mzee muda mwingine bora ukae kimya ulinde heshima yako ,ina maana yote aliyo andika hapo ni swala la kuwanyenyekea wazungu ? Hebu rudi soma tena ,hivi wewe unaweza kumkosoa Magufuli baada ya kukusifia ??
Mkuu hawa ndio akina wale wa toilet papers.

Sent from my SM-G920W8 using JamiiForums mobile app
 
It is high time we think ,identify our priorities as a nation and not as manority for the expence of the majority. Our nation has a long way to go! We are still on the planet earth led by almost everything by developed countries. Therefore, we as a nation we can not live in isolation aganst developed countries. A river always flows its water from highland to low land AND not the opposite.
 
Mkuu tatizo lako ni umri wako. Naona bado unawaza zile ndoto zako za part supremacy. Bahati mbaya ni kwamba sera zako za ujamaa na kujitegemea ulizojifunza pale kuvukoni zimepitwa na wakati na wala hazitufai kwa dunia hii ya sasa ya utandawazi. Whether you want it or not, as far as the Zanzibar issue is concerned, Magufuli messed up there. Let me tell you that not all Tanzanians are going to pray for him for what he has done to our fellow Zanzibarians.

Sent from my SM-G920W8 using JamiiForums mobile app
 
Ndio maana akawa na mafanikio ya kibiashara pia; in any uncertain position you have to anticipate and prepare to all outcomes. Iwe diplomatic relations, financial losses and all other options have to be tabled to their anticipated outcomes.

Marekani leo kila mtu mwenye akili timamu anaona what is wrong with Donald Trump's politics hakuna mtu anaezielewa siasa zao anaweza kubali eti taasisi zingine zitamwacha afanye atakavyo ikitokea miujiza akashinda. But that doesnt stop responsible people to manage their risks ni bora kuwa na mtu asiye na misimao hiyo in the first place ili waendelee na agenda zingine. Mwisho wa siku inakuwa rahisi kupambana naye kwa sababu kila mtu mwenye majukumu ya kupambana naye anatumia nguvu zake yaani wanasiasa majukwaani, vyombo vya habari kulaani maadili ya misingi ya utaifa na wengine wenye influence ya jamii kila mtu kwa upande wake kwa tafsiri ya nini maana ya Marekani (by the time watu wakiamua kumzuia kwa mabavu washajenga kesi ya nguvu ya kuwa huyu bwana ni hatari kwa America) na hizi ndio sababu watu wanaweza kwenda kutandika huko Argentina (Falkland island) kwa madai eti ni kisiwa chao kwa sababu wanatumia muda mwingi sana kuelezea uhalali wa matendo yao kwanza.

Swala la Zanzibar si la kutatuliwa na wanasiasa pekee jamaa inabidi wajipange kwanza kupata public support kama wanasiasa upande wa pili wanavyotumia muda kuongopa. Sasa kama watu wanaweza waacha wanasiasa wafanye mahubiri wanayojisikia kwa miaka mitano, bado una wanachama wa chama chako wanasapoti agenda za hatari kwa taifa wewe umekaa kimya tu halafu utegemee ubadilishe uchaguzi tu kila mwaka madhara yake ndio haya.

Bila ya kutoa somo ndani ao wazungu ata kama wanaona hatari ya siasa za wengine kwa taifa lako they will still exploit that channel kupitia 'carrot stick' inayokufanya uwasikilize; in short usalama wa tanzania ni very weak kuna mambo mengi sana yanafanyika sio sahihi kabisa eti mtu akwambie jamaa wamejipanga.
 
Hawa Ndio wasomi watu, kazi kupamba mabepari.
Muda mwingi wameishi ulaya.
Ndio ma agents wa wakoloni.
Wanaeleweka.
Yaani wakati ule Mufuruki anampigia kampeni Magufuli kwani hamkumuelewa!. It seems to me that his only problem is telling you the truth. Si mumezowea kudanganywa!

Sent from my SM-G920W8 using JamiiForums mobile app
 
Hivi mkuu hapa kumbe pana league?

Sent from my SM-G920W8 using JamiiForums mobile app
Polepole na Ali mafuruki walikua wote kwenye timu ya JPM wkt wa kampeni, ila kwenye suala la MCC polepole anazunguka kwenye media akisema tuko tayari kujitegemea wkt Ali Mafuruki anasema hatujafikia uwezo wa kuanza kujitegemea wenyewe mkuu.
 
Poor you, my sentences were neither majestic nor singular or rather adjectives to qualify the the to be used.

I dream in English, do you?
Seriously Faiza!!!

Sent from my SM-G920W8 using JamiiForums mobile app
 
Yaani wakati ule Mufuruki anampigia kampeni Magufuli kwani hamkumuelewa!. It seems to me that his only problem is telling you the truth. Si mumezowea kudanganywa!

Sent from my SM-G920W8 using JamiiForums mobile app
Alimpigia magufuli campaign akijua kwamba chini ya utawala wa magufuli itakua business as usual..... Kikwete.
Ngosha haangalii mtu usoni.
Halipi fadhila.
 
chief, alishindwa kujitegemea Mugabe ambaye Zimbabwe yake wakati inaanza kuwekewa vikwazo ilikuwa ni more economically advanced kuliko sisi na uchumi wetu huu tia maji tia maji.

tumefikia hapa tulipo pa kuwa taifa tegemezi kutokana na economy mismanagement ya serikali za CCM miongo 3 iliyopita. tumefika pahala hatuna tofauti na changaduoa.

embu niambie, chief....malaya akipigwa kibuti cha ghafla and in the middle of nowhere na mkware, ataanzaje kujitegemea?

tunataka practical solutions ambazo ni exclusively self-reliant. siyo ile ya "akitoka mzungu, no sweat tunaye mchina / mrusi / mwarabu", ambacho ndicho tunaona kinataka kutokea.

CCM have got nothing to lose eventually. the poor Wananchi do.

very unfortunate dilemma.
 

It is very interesting, What has Magufuli, done for Zanzibar?! MAGUFULI was a presidential candidate in the elections like others (including Maalim Seif, of course). How did MAGUFULI mess up the Zanzibar issue? You tell us, here. What has my age to do with the so called party supremacy? When did I enroll to study at Kivukoni college. Some of the comments are very funny, indeed.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…