omary khamis
JF-Expert Member
- Sep 29, 2016
- 402
- 77
Pc yako unaiweka mahala gani?Habar wana jf pc yangu vent zake za kupumulia ziko kwa chin kidgo kias kwamba inapelekea sometime ina over heat then inazima ukiwasha inaandika kua ilizima ku-avoid over heat nilikua nauliza nifanyaje kuzui tatizo hili? Na pia stand za pc hua wanauzaje? Msaada please
Naeka sehem kama juu ya meza kiti n.kPc yako unaiweka mahala gani?
Kawaida laptop ina visimamio kwenye kila pembe yake ambavyo vinasaidia ukiiweka sehemu yenye utambarare, sehemu za kuingiza hewa zibaki juu. Epuka kuiweka kwenye godoro au mahali popote ambapo sehemu za kupitisha hewa zinabanwa.Naeka sehem kama juu ya meza kiti n.k
manufacture wenyewe wametengeneza isiwekwe kwenye stand ndo maana wameweka hizo vent kwa chini hapo jaribubu kuangalia heatsink compound kama haijakauka vile vile angalia coolin system kama ipo freshHabar wana jf pc yangu vent zake za kupumulia ziko kwa chin kidgo kias kwamba inapelekea sometime ina over heat then inazima ukiwasha inaandika kua ilizima ku-avoid over heat nilikua nauliza nifanyaje kuzui tatizo hili? Na pia stand za pc hua wanauzaje? Msaada please