VEHICLE DIAGNOSTIC FOR SALE

Kwanini usingeweka hizo details kabisa? Unazungumzia Diagnosis machines? Weka specs zake naweza kukuunganisha na mtu pia. Usiweke tangazo kama vile hutaki Mpwa, atakuja mwenzio ataweka taarifa sahihi halafu wewe utakosa bahati, ni ushauri tu
 
Ndio nazungumzia diagnostic machines. Zipo models tofauti ( 5 different models)
JBT- CS638B
JBT-CS360
X-431 PRO3. ( tablet)
X-431 PRO( tablet)
X-431 PAD(tablet)
Any interested party pm and nitakupa specifics za kila kifaa
 
SAAAAFI KABISA, NGOJA KUNA MTU NITAWASILIANA NAE
 
Ingekuwa vizuri ukiweka full Details na bei zake mbona watu tuakuwa tunatoa nusu nusu kama unauza mali si yako??
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom