Turejee edeniHabarin wana JF . Nimeamua kuandika huu uzi juu ya changamoto ninazizipitia mimi ka vegetarian (mtu asiye tumia nyama) iko hivi mimi niliacha kula nyama na bidhaa zake mwaka 2017 mbaka sasa naeendelea na sina mpango wa kubadili maamuzi shida iliyopo ni jamii yangu wao hawataki kuamini kabisa kama hiki kitu kinawezekana wengine wanasema nimerogwa jamaa zangu wakiwa wanaeenda kula bata wananiacha juu ya kutokula nyama hata nyumbani kwangu nimekuwa kikwazo wakipika nyama lazima wapike na mboga nyengine kwa jiri yangu vyakula wanavyopika vinavyochanganywq na nyama mimi vinanipita sili pizza sili bagga wanaona najitesa sana lakini bado nimesimama na msimamo wangu mimi sio rasta wala sina hitikadi za kirasta je wewe vegetarian mwenzangu ikoje?
Acha kujitesa kijinga. Lengo la kuwa veg ni nini!? Kuepuka magonjwa au hiyo lifestyle umeipenda?!Habarin wana JF . Nimeamua kuandika huu uzi juu ya changamoto ninazizipitia mimi ka vegetarian (mtu asiye tumia nyama) iko hivi mimi niliacha kula nyama na bidhaa zake mwaka 2017 mbaka sasa naeendelea na sina mpango wa kubadili maamuzi shida iliyopo ni jamii yangu wao hawataki kuamini kabisa kama hiki kitu kinawezekana wengine wanasema nimerogwa jamaa zangu wakiwa wanaeenda kula bata wananiacha juu ya kutokula nyama hata nyumbani kwangu nimekuwa kikwazo wakipika nyama lazima wapike na mboga nyengine kwa jiri yangu vyakula wanavyopika vinavyochanganywq na nyama mimi vinanipita sili pizza sili bagga wanaona najitesa sana lakini bado nimesimama na msimamo wangu mimi sio rasta wala sina hitikadi za kirasta je wewe vegetarian mwenzangu ikoje?
Picha picha zikiwekwa hapa za some vegetables itapendeza zaid ๐๐๐Habarin wana JF . Nimeamua kuandika huu uzi juu ya changamoto ninazizipitia mimi ka vegetarian (mtu asiye tumia nyama) iko hivi mimi niliacha kula nyama na bidhaa zake mwaka 2017 mbaka sasa naeendelea na sina mpango wa kubadili maamuzi shida iliyopo ni jamii yangu wao hawataki kuamini kabisa kama hiki kitu kinawezekana wengine wanasema nimerogwa jamaa zangu wakiwa wanaeenda kula bata wananiacha juu ya kutokula nyama hata nyumbani kwangu nimekuwa kikwazo wakipika nyama lazima wapike na mboga nyengine kwa jiri yangu vyakula wanavyopika vinavyochanganywq na nyama mimi vinanipita sili pizza sili bagga wanaona najitesa sana lakini bado nimesimama na msimamo wangu mimi sio rasta wala sina hitikadi za kirasta je wewe vegetarian mwenzangu ikoje?
Anapita nayoo mkuu๐๐ko mkuu ukiona matembele yameota mate yanakutoka kabsaa
๐คฃ๐คฃ kama yuko dar inabd ahame tu aiseeAnapita nayoo mkuu๐๐
Kabisa๐จ๐คฃ๐คฃ kama yuko dar inabd ahame tu aisee