K kirk git JF-Expert Member Joined Jan 24, 2018 Posts 591 Reaction score 677 Nov 10, 2018 #2 Kenya wamenona hakuna maana ya elimu kwa sababu wanaweza kuleta chinese wawafanyie kile wasomi kutoka kenya wangeweza kufanya kwa bei "nafuu". Sasa kilichobaki ni kuuza vyuo kwa wachina! Treasury ordered to bail KU out of Chinese loan
Kenya wamenona hakuna maana ya elimu kwa sababu wanaweza kuleta chinese wawafanyie kile wasomi kutoka kenya wangeweza kufanya kwa bei "nafuu". Sasa kilichobaki ni kuuza vyuo kwa wachina! Treasury ordered to bail KU out of Chinese loan
Bilionea Asigwa JF-Expert Member Joined Sep 21, 2011 Posts 16,590 Reaction score 28,761 Nov 10, 2018 #3 No wonder this comes form a failed state.... Nchi ambayo haiwezi kulisha watu wake, inategemea majirani wailishe unategemea wakawa na vipaumbele vya maana?? Hawa jamaa sijui walirogwa na nani??
No wonder this comes form a failed state.... Nchi ambayo haiwezi kulisha watu wake, inategemea majirani wailishe unategemea wakawa na vipaumbele vya maana?? Hawa jamaa sijui walirogwa na nani??
J Janerose mzalendo JF-Expert Member Joined Oct 4, 2018 Posts 3,881 Reaction score 2,813 Nov 10, 2018 #4 Bilionea Asigwa said: No wonder this comes form a failed state.... Nchi ambayo haiwezi kulisha watu wake, inategemea majirani wailishe unategemea wakawa na vipaumbele vya maana?? Hawa jamaa sijui walirogwa na nani?? Click to expand... Walirogwa na wale wachawi mashuhuri kutoka nchi wanayopakana nayo
Bilionea Asigwa said: No wonder this comes form a failed state.... Nchi ambayo haiwezi kulisha watu wake, inategemea majirani wailishe unategemea wakawa na vipaumbele vya maana?? Hawa jamaa sijui walirogwa na nani?? Click to expand... Walirogwa na wale wachawi mashuhuri kutoka nchi wanayopakana nayo
mkorinto JF-Expert Member Joined Jun 11, 2014 Posts 32,095 Reaction score 39,619 Nov 10, 2018 #5 Janerose mzalendo said: Walirogwa na wale wachawi mashuhuri kutoka nchi wanayopakana nayo Click to expand... Si mliwaruhusu waingie kwenu nyinyi wenyewe,kilio vipi??? Sisi hatupokei mchawi wa kikenya wala wa kinigeria.
Janerose mzalendo said: Walirogwa na wale wachawi mashuhuri kutoka nchi wanayopakana nayo Click to expand... Si mliwaruhusu waingie kwenu nyinyi wenyewe,kilio vipi??? Sisi hatupokei mchawi wa kikenya wala wa kinigeria.
J Janerose mzalendo JF-Expert Member Joined Oct 4, 2018 Posts 3,881 Reaction score 2,813 Nov 10, 2018 #6 mkorinto said: Si mliwaruhusu waingie kwenu nyinyi wenyewe,kilio vipi??? Sisi hatupokei mchawi wa kikenya wala wa kinigeria. Click to expand... lakini Ku_export wachawi mnajua
mkorinto said: Si mliwaruhusu waingie kwenu nyinyi wenyewe,kilio vipi??? Sisi hatupokei mchawi wa kikenya wala wa kinigeria. Click to expand... lakini Ku_export wachawi mnajua
M Mpenda wachaga Member Joined Oct 5, 2018 Posts 56 Reaction score 19 Nov 11, 2018 #7 It's because module 2/self sponsored courses are being faced out, which were cash cows for VCs