VAR ya COSAFA, Stars vs Eswatini ni vituko vitupu

VAR ya COSAFA, Stars vs Eswatini ni vituko vitupu

choza choza

JF-Expert Member
Joined
Jan 17, 2019
Posts
2,289
Reaction score
4,087
Mechi imesimama dakika nyingi kwa tukio dogo ambalo refa angeweza kuamua ndani ya sekunde 3 tuu
 
Japo ile ilikua red card . Mkono ulikua kwenye un natural position
 
Wapo sahihi, mtajuaje na huko kuna VAR wakati Bongo mliingizwa chaka na TFF kuhusu VAR 😂
 
Nakumbuka ilisomwa lwenye bajeti na Msingapo kuwa VAR itanunuliwa kwenye Mwaka wa Fedha 2024/25 TFF cjui kwann hawajaanza kuitumia
Wenye VAR yao waacheni watambe nayo Hata kwenye makosa yanayoonekana wazi, hata mpira ukitoka ili urushwe kwa mikono inabidi refa akaangalie Kwenye VAR ili mpira upelekwe sehemu sahihi refa asije akakosea 🔥
 
Wenye VAR yao waacheni watambe nayo Hata kwenye makosa yanayoonekana wazi, hata mpira ukitoka ili urushwe kwa mikono inabidi refa akaangalie Kwenye VAR ili mpira upelekwe sehemu sahihi refa asije akakosea
VAR ya ajabu sana
 
Back
Top Bottom