BBC Sport - Robin van Persie: Man Utd striker ruled out for four-six weeks
Naona Huyu Mdau kaanza ile tabia yake ya kuumia umia.., ni Injury Prone Sana huenda ni sababu ya uchezaji wake.., Kwahio atamiss mechi zote na Bayern Munich
Uchezaji wake kivipi?? Fafanua mdau
BBC Sport - Robin van Persie: Man Utd striker ruled out for four-six weeks
Naona Huyu Mdau kaanza ile tabia yake ya kuumia umia.., ni Injury Prone Sana huenda ni sababu ya uchezaji wake.., Kwahio atamiss mechi zote na Bayern Munich
Jamaa katutupia kwa bayern halafu mwenyewe kasepa dah!
Hivi mwaka huu huyu jamaa ameshaumia mara ngapi ? amemiss games ngapi kwa kuumia ? Alafu wengine huwa miili yao ni kama chocolate au biscuits kidogo tu tayari..., In short jamaa ana Ankle and Knee problems just ask Arsenal watakwambia. au angalia jedwali hapo juu. Anatumia muda mwingi ugonjwani kuliko uwanjanithis time HE WAS INJURED BY AN OPPONENT WHO HIT HIS KNEE FROM BEHIND. kwa maana hii mtu yeyote anaweza kuumia wether ur injury prone or not.
Hivi mwaka huu huyu jamaa ameshaumia mara ngapi ? amemiss games ngapi kwa kuumia ? Alafu wengine huwa miili yao ni kama chocolate au biscuits kidogo tu tayari..., In short jamaa ana Ankle and Knee problems just ask Arsenal watakwambia. au angalia jedwali hapo juu. Anatumia muda mwingi ugonjwani kuliko uwanjani