somtimes kitu cha furaha chaweza kusababisha huzuni kwa upande mwingine. Tangu nimebalehe miaka kumi ilopita nimewahi kupenda mara mojatu.nilikua form two, swithat wangu akahama nchi akaenda nchi ya jirani, nikabaki mpweke.toka wakati huo
sijawah kufal in love na nikawa na nimpendae kwa dhat.
Inapofika wakat kama huu wa valentine hua ni huzuni kwangu manake hutamani ningekua namtu ambae moyo wangu unahisi fahari kwake lakini sinae.
Jana nikiwa nimekaa na washakaj zangu wakati wa lunch kwa ofisi wakaanza kupanga mitoko ya valentine na wapenzi wao. ilinibidi nisichangie, lakini wakaniuliza vp mbona sikua natoa wazo lolote!!.........
Point ni nikua inapofikia wakati kama huu wa valentine au wakati mwingine wowowte moyo wangu hutamani sana ningekua na mtu ambae nampenda dearly lakini no one na nachoshangaa nawaona wadada weni sana warembo ila si fall.
Hivi hii ni kwa nini??
Nawatakia VALENTINNE NJEMA nyote.
Tuko wengi kumbe pole mwenzangu
Huyo uliyempenda 10 yrs ago bado mnawasiliana? anakupa moyo kuwa atarudi lini au wewe ndo hukubali majibu unayopewa?
Siri kubwa katika maisha ni kwamba ni vigumu sana kuja kuoana na yule mliyependana mkiwa teenagers hasa katika mazingira kama hayo ya shule, usije ukafikiri wewe uko peke yako !
Pole sana thats life..kupenda si rahisi kama watu wengi tunavyofikiri,ipo siku utapenda tena,si ww tu utakae kuwa lonely na unaeumia msimu wa valentine ukifika wapo wengi sana cha msingi siku ya kesho enjoy with ur family and ur friends who are single..dont loose hope kwani there is someone who was born to make u happy.
Tuko wengi tu ambao ku fall in love ni issue,ila maisha ni zaidi ya mpenzi,furahia maisha yako....go out with friends who are single,family member, enjoy some hobbies,siku ikitokea umempata utakaye fall kwake basi maisha yawe bora zaidi.usikae idle ukifikiria sana, have fun!!!